Yaan tangu nikujue hujawah kuongea pumba asee.mkuu msikize sky eclat.hata mm niliumwa na masikio haad nilinyoosha mikono juu kwa sauti ya christian bella.
Nilizunguka sana haad nkaamua siku 1 kugombana na madaktari wa kairuki baas wakaniruhusu nikawaone ent ghoroma la juu asee niseme...
SIKUWAHI KUKUTANA NA THREADS KAMA HIZI HAPA JF.DUUH DECEPTION KAMA SIASA UMEIPIGA KWELI KWELI ASEE.ILA UMEFELI KULINK HIV NA MADAKTARI AMA HIV NA POLITICIANS. TUNAPOSEMA HIV NI AGENT DAKTARI ANA UELEWE MDOGO SANA KUHUSU HILI MBALI NA WANASIASA ULIOWATAJA. AS A MICROBIOLOGIST NAISHIA HAPA ILA NI...
One of the most reemerging disease, most killer disease no vaccination to victim to date.Dangerous disease especially in central and west Africa,but in recent years penetrated in East Africa through Uganda-Congo borders.
Ujue Mungu nampendea hapa tu.Ukileta siasa sana Chapaaaa na Ugonjwa wa...
Ulidhani anaongea vile kwa bahati mbaya au.Zile ni chenga lakn uzuri ameongea ukweli sabb yeye haimuumizi but anamponda msukuma mwenzie.2015 alinunua nyumba kahama mjini ili watu wajue kua anaishi pale baada ya kushinda akaiuza Hahaaa
Sio Mjinga Kiasi Hicho Hana Hao Watoto Mkuu.Yeye Anaishi South Africa Na Bungeni Ameingia Kwa Kuombwa na CCM Maana La sivyo Hakukuwa na Mtu wa Kumtoa Chief James Lembeli.
Tangu nimemjua Chief Jumanne Kibera Kishimba ni tajiri m1 aliesoma hadi darasa la 4 zamani sana.Na hapo ana akili kuliko wabunge kadhaa Japo naamini mahudhurio bungeni ni kama hii ni mara ya pili au tatu tangu aapishwe Nov,2015.
Mtoa mada yupo sahihi.Hoja ni kuwa miaka miwili mbele tatzo la ajira litakuwa +++.100% unaweza kuielezea tofaut ila 400%.Tatizo la ajira serikalin ni kubwa ila bunge na serikali linazuia ajira.Je,tuite ushujaa kijana aliemaliza shahada yake au diploma awe mchuuzi mtaani badala ya ajira sahh?
Sawa kibabu Utoage ushaur sahihi Ukija Hapa Sasa sio unalalamika ooh vijana vijana wengne tuna familia zetu.Mleta mada anahitaji ushaur sio umwelezee masuala ya tattoo.Hayo sio matusi ni viunganishi mkuu jiongeze.Najua dempo hujaenda ndo maana uzalendo upo chini kidogo.Na nikutoe waswas kuwa...
Sasa huyo unadhani ana akili timamu.Tattoo sehemu open kama hizo atakua anakula bangi tu.Hapa nazungumzia Jamaa huyu mleta uzi aliepita sehemu zoote wanaenda kumkataa wakati wa kureport.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.