Recent content by robert_k

  1. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Sorry mm sio dada
  2. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Okay mkuu, hii ni fursa inayompa mtu nafasi ya kuwa na ubia na kampuni ya neolife kulingana na mahitaji yake aidha ya afya, kilimo, uzito au urembo. Mfano wewe ni mkulima, basi kuna bidhaa za kilimo inaitwa supergro hiyo ni dawa inayosaidia kuwa na unyevu unyevu katika udongo kwa muda mrefu na...
  3. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Hahaha sawa mzee....hii kitu imeanza tz 1995 hadi leo kila mwezi unatoa watu haijalishi umeanza lini au lah....ila kama una imani hiyo sawa
  4. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Imani tu mzee...kama wewe unaamini hivyo sawa acha na mimi niamini vingine, na hahitajiki watu milioni kuamini ni watu wachache tu
  5. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Okay bidhaa za afya kama pro vitality mbadala wa chakula ...ni mkusanyiko wa nafaka, mboga mboga n matunda, protini jamii ya kunde na mafuta ya samak aina ya salmon kutoka atlantic ocean....hiyo ni mmja ya bidhaa mama ya vijazi lishe...anapewa mama mjamzito, mgonjwa wowote, wasichana waliokuwa...
  6. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Uzi unajulikana worldwide mzee...kampuni ambayo haijawahi kupata hasara na hata wa kima cha chini anaweza ingia sio kama foreva na zingine unatakiwa ma laki 9 na ushee....karibu sinza madukani jengo la emirates upate more information nina uhakika kama sio sasa ila siku za mbeleni utavutiwa kujiunga
  7. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Networking marketing....sio biashara ya mtandaoni, google hapo ipo worldwide search neolife utaona...warehouse ipo mwenge na system ya uendeshaji inajulikana dunia.nzima....karibu sinza madukani siku upate elimu, wengi walikuwa na mawazo kama yako ila wachache waliochukua hatua wako.mbali
  8. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Usikariri hii sio foreva hii ni NEOLIFE INTERNATIONAL ....siongelei foreva hapa au umeona sehemu nimeongea foreva
  9. robert_k

    Fursa kwa kila mtu

    Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au wewe kijana, yule unayemtegemea mara ghafla hayupo utaweza kusimama mwenyewe? Wengi wamekuwa...
  10. robert_k

    Msaada: Naitaji kulima mpunga (saro), naitaji mawazo yenu

    Wana jamvi....kwa wakulima ambao.mnatarajia kulima miezi hii, nauza dawa ya kilimo SUPERGRO ....ni dawa ambayo mchanganyiko wake ni rahisi sana, dawa ambayo inarutubisha mmea na kufanya udongo upate rutuba na kuwa na unyevu unyevu kwa muda mrefu/ kuufanya udongo ukae na maji kwa muda mrefu...
  11. robert_k

    Ninatarajia kupokea milioni moja na laki mbili. Nataka nilime

    Okay safi sana kilimo ni hela sana...mimi nakushauri usilime mazao ambayo kila mtu analima, yani mazao ya mkumbo. Maana kuna watu wakisikia matikiti yana hela wote huko, mara mahindi yana hela nao wote huko jambo ambalo mwisho mnalima wengi na soko ndio hivyo hela ndogo. Nakushauri kwanini...
  12. robert_k

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Safi sana, kilimo ndio kila kitu....sasa nakukaribisha ununue dawa bora ya kilimo. Ambayo husaidia udongo kushika maji kwa muda mrefu na kurutubisha mmea hivyo mazao yanakuwa ni yenye ubora na mengi. Haina kemikali na inaokoa uchumi wa mkulima maana unatumia kwa kiwango kidogo ila kwa muda mrefu...
  13. robert_k

    Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    Sasa si mtaalum aunge grup la whatsapp ili atupe nondo zaidi asee..huwezi jua unaweza ukaanz mchakato wa kufungua kampuni ya brokers mdogo mdogo hivi hivi kutusaidia sisi tunaotaka kuingia rasmi katika hii biashara
  14. robert_k

    Ushauri wenu kabla sijajiingiza kwenye bidhaa za Oriflame

    Acha kupotosha umma, networking marketing ndio biashara ya karne hii....tatizo hujaelewa maana ya networking marketing. Kwa technology inavyoenda, kati ya biashara zenye faida sana ni biashara ya networking marketing. Tatizo kuna networking marketing chache zinazoharibu uhalisia wa biashara ndio...
  15. robert_k

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu, nimefilisika

    Punguza matumizi tu mzee. Kama ulikuwa unatumia elfu 50 kwa siku basi tumia elfu 25, kaa na mkeo mwambie hela ngumu mpunguze matumizi huku mkifanya saving. Pili usichanganye ushirikina na Mungu, kama uko kwa Mungu amini Mungu atabariki mapambano yako kama uko kwa ushirikina kaa huko. Punguza...
Back
Top Bottom