Recent content by Robert Mbathane

  1. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    🩺 Ndiyo. Hali hii huitwa Silent Ulcer (Asymptomatic Peptic Ulcer). 🔬 Sababu zinazoweza kufanya kidonda kisiwe na maumivu: *Kidonda kuwa kidogo au katika eneo lenye maumivu kidogo. *Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu. *Mabadiliko ya neva au magonjwa yanayopunguza hisia za...
  2. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya tumbo

    Chanzo Kikuu: # Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac). # Dalili zake ni pamoja na:- Maumivu ya tumbo sehemu ya juu. Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara. KuWa na...
  3. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania H.PYLOR

    # Michubuko tumboni bila H. pylori Michubuko (Erosions au Gastritis) kwenye kuta za tumbo inaweza kutokea hata bila kuwepo kwa H. pylori. Sababu kuu ni:- Matumizi ya dawa mbalimbali za maumivu– (kama aspirin, diclofenac, ibuprofen) ambazo hupunguza ulinzi wa kuta za tumbo. Matumizi ya pombe...
  4. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania H. pylori ni nini!

    H. pylori ni nini? Ni bakteria hatari wanaoishi tumboni na mara nyingi husababisha gastritis, vidonda vya tumbo na hata saratani ya tumbo. Dalili kuu: ✅ Maumivu makali ya tumbo (hasa ukiwa hauna chakula tumboni ukiwa na njaa) ✅ Kichefuchefu, gesi nyingi na tumbo kujaa ✅ Kukosa hamu ya kula na...
  5. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Hakika mkuu tabu ipo kubwaaa!!
  6. Robert Mbathane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    SABABU KUU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA MWANAMKE. ✍️Magonjwa ya maambukizi katika mfumo wa Uzazi kama vile PID, fungus n.k. ✍️Changamoto za mahusiano. ✍️Matatizo ya vichocheo (hormone ) ✍️Sababu za uzazi (kujifungua ) ✍️Matatizo ya kisaikolojia. N.B TUNAWEZA KUKUSAIDIA VIZURI KABISA...
  7. Robert Mbathane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Aisee hilo nalo jambo ni kuzingatia nimepata kitu hongera mtoa mada!
  8. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Depression inaniua

    Usaidizi wa kitaalamu ni muhimu sana, lakini pia kuna mambo ambayo unaweza kufanya kila siku ili kukusaidia kupona. Kama mabadiliko ya mtindo wa maisha pia tafuta usaidizi wa tiba ya kisaikolojia ni matibabu muhimu kwa Depression @ Mbathane Robertus, counseling psychologist
  9. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Ooohhh tuko pamoja! ngoja wajuzi wa theology waje watupe kujua zaidi
  10. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Ukimaliza msikilize lunya na zile episode zake hataree madogo wananipa ryms za kibabe!!
  11. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Pamoja mpaka jogoo namsikiliza mwanangu wakazi na tema yai nation mix n hataree nikiimaliza h album usingizi ukigoma inabid ibada ifanyike aisee!!
  12. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania I am looking for a job

    Wana JF Mbathane in mtanzania anatumia lugha yake adhimu sasa baada ya kuharibu lugha ya watu, tafadhari mbele yenu ni kijana mhangaikaji natafuta fursa ya ajira hata ya kujitolea kwa kupata angalau nauli maana unapokuwa na sehemu unajitolea ni rahisi kupata sehemu nyingine kuliko kukaa mtaani...
  13. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Kanisa ni wapi?

    Woooh!!!
  14. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji website nzuri kwa gharama ndogo?

    Nakuja!
  15. Robert Mbathane

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Kwenye hilo suala la kuwa na madini mengi ni moja ni pamoja na kuwa na utaalamu wa kuyachimba na kufanya processing kuipata hiyo product ambayo itaingia sokoni he hao wataalamu wapo na mazingira yao ya Nazi yakoje! nahisi tukiwajali kwanza hao wataalamu na wakaona hayo madini no yao na...
Back
Top Bottom