Hakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.
Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Kuna mdau aliniambia Maximum ni nguzo mbili kwa mteja kulipia nguzo ambayo ni 690k kitu kama hicho, ikitokea zinakuwa zaidi ya nguzo 2 ilo eneo inahitajika kufanyiwe mradi kama wanavyosema na issue ya mradi ina involve mambo mengi kama kuongezeka kwa manpower, vifaa, aina ya usafiri na mambo ya...
Simu kama inakubali apps zote. Hizo mambo za updates tupa kule. Kuna mtu anatumia Samsung S10e mpaka kesho na hakuna kitu anafeli.
Wengine wanaenda mbali zaidi wanaweka custom operating systems ili ziendane na wakati
Mimi natumia Blackberry Passport anyway napenda old school tech
NB. SIMU...
Let's do it. We go Green ✅️
Leo week ya kwanza after international matches Historia inaonesha wakubwa wanashindaga games zao 😂
God bless 🙌 Hustlers
DIRECT WIN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.