Recent content by rmo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau hii cash out ya mkekabet ndo turbo?na unafanyaje?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman nijibuni bas nmeuliza jins ya kuturbo mkeka bet imebak game ya madrid pekee sijiamini
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mkekabet nao wameanzia turbo,kama anayefaham jins ya kuturbo?je ni kama meridian?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mungu akubariki sana nmesota sana
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo wa kicongo miaka ya 90 unakibwagizo KIDEKULEEE EIMAAMA KIDEKULEEE sijui kaimba nani nautafuta sana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Leo ni TBT hebu sema ni beat ya wimbo upi ambayo ukiisikia tuu inaanza unapagawa

    Kuna wimbo wa kikongo miaka ya 90 nadhan unaimba "kidekulee ei maama kidekulee" yaan nautafuta na sifaham aliyeimba nani
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

    Mbeya wamekata tena asubui hii,but naona kwa kipindi cha mwez mzima umeme unakatwa sana,nnahisi kuna MGAWO ila ndo hawataki kutangaza
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikilala naongea kwa sauti ndotoni

    27 mkuu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vigogo wa Chuo cha Uhasibu (TIA) wapata dhamana, wakabiliwa na shtaka la kuisababishia serikali hasara ya Tsh. bilioni 1

    Dah luhungu huyo,mzee kumbe alikua mpigaji?ila kile chuo kimeliwa sana mpaka baad ya viongoz walikua wanagwaya kuja pale?mfano baada ya hanzulun kustaaf watu walikua wanagoma kuja kuchkua nafas yake
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikilala naongea kwa sauti ndotoni

    Wadau, Mimi ni muathirika wa hili tatizo tangu nimezaliwa.Kwa walio karibu nami huwa wananambia naongea vitu vingi sana tena kwa sauti kubwa. Sasa kinachoniogopesha ni kwamba huwa naongea yale ninayowaza so nakua natoa hata siri zangu bila kujijua. Kuna watu walinishauri mpaka nitumie dawa za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimeyachoka magari ya japan,nahitaj audi kwa anayeuza please

    Hellow wadau,bila kujali changamoto,kama kuna mwenye audi (hasa audi A4 sedan),na anauza please tuwasiliane.
  12. R

    JamiiForums Tanzania TANZANIA beat FRANCE, coz were beaten by SENEGAL...

    Nimejikuta nacheka baada ya kukumbuka kaulu ya aliyekua kocha wa Taifa Stars ,Maximo,baada ya kuifunga Burkina faso kwamba sababu Burkina Faso waliifunga Senegal ambayo ilitufunga 4-0,na ambayo iliifunga France World Cup. Sasa akasema if Senegal beat France,Burkina Faso beat Senegal,and...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia kuna turbo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naona hii BIKOSPORT wana options nzur sana
Back
Top Bottom