umejiregister leo as awf na umeshabadili ID, kama unataka kuscam unemployed basi watafutie an upgraded method ya scam, hii unayotumia ni very local.
Umiza kichwa unapotaka kuscam great thinkers, hii sio facebook.
Asubuhi nafasi zilikuwa 44, now ni 56.
why does it seem like a scam? especially with your ID which indicates a short form of the foundations name...
I feel some smelly of a scam as per employees pictures updated on your website..
No offense, sorry for my insticts if am wrong
i guess utakuwa hujajua namna anayotumia kudeliver message kwa watu, that wasnt serious, alikuwa anafundisha on kutokuwa na papara kwa ladies wakitongozwa especially na mwanaume anayeweka pesa mbele and how wajane wanachukuliwa for granted kwamba they will accept any relationship without kujua...
Hiki ndio nachotamani jamani natamani sana mwanaume tutakayetaka kwenda naye step ya ndoa anielewe kuwa sitaki kabisa sherehe, na ikiwezekana harusi tufunge siku ya week tuende ofisini kwa mchungaji sisi wanandoa na wasimamizi basi, tukitoka hapo tukale lunch then kila mtu arudi kwake.
Vifurushi wamekaba mitandao yote, ujanja sasa ni kutafuta mechanism nyingine ya kuokoa hela zetu za vocha sasa kupata vocha za 5000 bure,bonyeza link hii
https://jamiiforums.com/s6nWahSQSX
Najua sana na ni wengi,lakini haikuwahi kuwa mapenzi ya Mungu ilikuwa ni choices zao binafsi kama tunavyofanya sisi sasa... Na ndio maana kwa wengine alionyesha directly kuchukizwa na waliyoyafanya na kumbuka Mungu hajipingi,akisema uzinzi ni dhambi hakuna any bible scripture ya kujustify...
Effect ya alichofanya Abraham haikumhaunt yeye,ilimcost mwanae Ishmaeli... Kwani umeona mahali nimesema Abraham alipata shida? kwa Abraham nimekupa reference ya Ishameli,natumaini utakuwa unajua Mungu hupatiliza wana uovu wa baba yao vizazi hata cha nne.. Kwa Suleimani ilimpata yeye mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.