Recent content by Rjmdaki

  1. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nitafanya nini ili niweze kupata matokeo ya Diploma mapema ili niunganishe kusoma Degree?

    Hongera kwanza kwa kupata hata hiyo nafasi ya kusoma diploma, wapo ambao wamekosa kabisa. Ila hujachelewa kwani application za chuo huanza mwezi wa saba kama sjakosea na wewe unamaliza mwezi wa nne, hivo hapo ni utaratibu wa chuo husika tu ndo unatakiwa kufanya utaratibu mzuri wa kuwahisha...
  2. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Naweza kujua maana na lengo la chit-chat?

    Naomba kujua chit-chat imelenga nini, na je, unapochat na mtu humu kwenye hii room inakua private au?
  3. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

    umeona eee!
  4. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    ok, tunakosea lakn, si wote na makosa yetu kwa asilimia kubwa yanatokana na reaction zenu
  5. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Kwani sis wanaume tunakosea nini cheriefrance
  6. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    thank you, nashukuru sana kwa ushauri wako,,,
  7. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Sawa lady nashukuru
  8. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Sawa, ila mi nadhani huyu anayenipoza ameona jins gan navoumia na ndo mana ameamua kufanya hivyo. Na pale nyumbani kwa huyu aliyekua wangu hayupo na hana mpango wa kurudi tena ndo mana nikaomba ushauri
  9. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Mapenz ya milele hamna ila tunajitahidi kuyafanya yadumu, lakini wapenz wetu ndo wanaotuangusha
  10. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Something like that Konya
  11. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Hivo unanishauri nitafute mwingine tofauti na hao?
  12. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Nashukuru sana mkubwa, huyo dada ni mkubwa tu, ni 18, kama unavosema labda anataka kutumia uschana wake vizur
  13. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Lakini mwanzoni alikua akinita Shemej, huoni ka itakua vigumu? Thomas
  14. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu, tauzingatia na kuufanyia kazi. Mungu awabariki
  15. Rjmdaki

    JamiiForums Tanzania Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

    Hapana, muda mwingine mwanamke anaachiwa apate kwa malengo flan flan, si siku zote mwanamke ni mtu wa kupata Mr. Himidini
Back
Top Bottom