Inasikitisha sana kwa maneno yako. Hata kama humpendi mtu si vema kufurahia msiba wake. Unachoonesha si kitendo cha kiutu hata kidogo. Na hii ni tabia inayoendelea kujijenga miongoni mwetu waTz, sijui hatima yake ni lini ila najua mwisho ni mbaya! leo ukifurahi Ponda kupigwa risasi fahamu kesho...
Siku zote mbongo anatamani kisicho chake, na akikipata anakidharau, Jk ni rais ila kwa kua ni mbongo ndiyo maana wanamchukia wasio jua Big UP Kigwangala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.