Recent content by RJ Enterprises

  1. RJ Enterprises

    Nini maana ya maisha?

    Hoja zuri na imenifanya niwe na mixed emotions, kama binadamu akishakufa ndo maisha yake yanaishia papohapo manake mungu hayupo na if no God pia shetani hayupo kwahy tunaposkia maswala ya wachawi sijui waganga na propaganda na upigaji dhidi ya wanadamu, let's discuss this siyo kwa ubay lkn
  2. RJ Enterprises

    Natafuta msimamizi wa shamba la mifugo na kilimo

    Mkuu ungeweka bei ingekuwa nzuri zaidi, mtaalam wa kilimo nipo hapa
  3. RJ Enterprises

    Kilimo gani naweza kufanya kwa mtaji wa 200,000?

    Hongera Kuna kitu ndani Yako. Samahani vp kuhusu zao la pilipili kichaa una ideas zake, nisaidie
  4. RJ Enterprises

    Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

    Kaka kafanye kazi ya kupromote matangazo... Kilimo hakikufai tuachie sisi wakulima
  5. RJ Enterprises

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi kupunguza tatizo la ajira kwa vijana

    UTANGULIZI Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao ni wahanga wa ajira za serikali baada ya kuhitimu elimu yangu ya juu na ni takriban miaka minne sasa niko mtaani ninatrust process lakini kama ningeendelea kusubiri mfumo pengine leo ningekuwa maskini wa kutupwa kiasi cha kushindwa...
  6. RJ Enterprises

    SoC04 Mfumo wa elimu wa Tanzania kuua vipaji vya watoto

    Akili kubwa mkuu SEMA una uvivu wa kuandika
  7. RJ Enterprises

    Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Njoo kwa fide mamba babati utapata kila huduma Bora mpaka ushauri mkuu mbegu za f1 zinapatikana, karibu
  8. RJ Enterprises

    Nafasi ya Kazi ya Msimamizi wa Maudhui (7) JamiiForums June, 2024

    Na hiyo diploma waliyoitaja ni ya nn sas
  9. RJ Enterprises

    SoC03 Sekta ya mifugo ifanyiwe maboresho ili kuleta maendeleo nchini

    Nakubali kamanda[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
  10. RJ Enterprises

    SoC04 Uandishi isiwe ‘mission’ Taaluma iheshimiwe

    Sheria hii pia inaweka masharti ya mwandishi wa habari kuthibitishwa (kupata ithibati) ili kufanya kazi za uandishi. [Kifungu cha 19] Bodi inaweza kufuta uthibitisho wa mwanahabari kutokana na kukiuka kwa kiasi kikubwa maadili ya taaluma yaliyoainishwa katika kanuni za maadili ya taaluma ya...
  11. RJ Enterprises

    SoC04 Ninaifanyia nini nchi yangu?

    [emoji38][emoji38][emoji38] utajiri wa Elon musk ni mara 3 ya Pato Zima la taifa letu
  12. RJ Enterprises

    SoC04 Mipango mkakati: Tukitaka Taifa Stars icheze Kombe la Dunia 2042

    ajira ni kazi yeyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika taasisi, kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu binafsi. Vilabu viko kwenye mfumo wa taasisi, wachezaji na watumishi wengine ni waajiriwa na hulipwa, wachezaji hupata Hela ya usajili(signing fee) pia hulipwa kwa mwezi pia wanapocheza...
  13. RJ Enterprises

    SoC04 Mipango mkakati: Tukitaka Taifa Stars icheze Kombe la Dunia 2042

    Si ndiyo, kaka wenzetu waliofanikiwa Waliweka mipango ya mda mrefu ndio maana tunaona wamefanikiwa means imewalipa
  14. RJ Enterprises

    SoC04 Mipango mkakati: Tukitaka Taifa Stars icheze Kombe la Dunia 2042

    UTANGULIZI Nitumie fursa hii kuwasalimu wapenda soka wote mlioko humu ndani jamiiforum pia wapenda maendeleo kwa ujumla.Mafanikio ya mpira wa miguu ni matamu sana lakini yanahitaji maandalizi ya hali ya juu, wakati Tanzania tunasherekea kufuzu kucheza Afcon mwaka 2023 wenzetu Senegal mwaka 2002...
Back
Top Bottom