Recent content by Rizy winklif

  1. Rizy winklif

    Walimu wapya waanza kutaabika

    aisee hyo ni almost nchi nzima.ileje-mbeya ni kilio bado tunasubr report kwa ded
  2. Rizy winklif

    Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

    kwa aliye pwan, tanga au dar na anapenda kufundisha kufundisha mbeya level ya sekondari anitumie e-mail via rizywinklif@yahoo.com
  3. Rizy winklif

    Kwanini CCM na CHADEMA tu?

    siku lazima kuwe na juu na chini.haiwezekani vitu vyote vikawa juu au chini.vyama vya siasa hivyo hivyo kuna ambavyo matendo yake yanavutia wananchi huku vingine vikionekana kama muunganiko wa wasanii.ccm ni chama tawala hivyo lazima kiongelewe sana.Chadema licha ya kuwa chama kikuu cha upinzani...
  4. Rizy winklif

    Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

    wako sawa coz CUF wanaonekana kupania kuingamiza CHADEMA. na kuangamia kwa chadema ni harusi kwa MAFISADI na chama chao.
Back
Top Bottom