Recent content by Riz king

  1. Riz king

    Juma Kaseja anatafuta kiki kwa Djigui Diara

    Mbona sijaona kosa la kaseja ila ambao hawakumshuhudia J K Juma enzi Zamaleki wanatolewa ndo atakua na dought. Ila Diarra kwa karne hii yuko poa
  2. Riz king

    Simba rudisheni hawa wachezaji bado wanakichafua

    Yes BM3 mwamba anawafaa wanasimba kipind cha dirisha dogo ili amkombe Mangungu kwenye mgogoro mzito
  3. Riz king

    Simba rudisheni hawa wachezaji bado wanakichafua

    1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni 2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi kuliko hata huyo Fabrice Ngoma mwenye pancha 3..Bernard MORRISON mtoto wa Efua bado yuko full...
  4. Riz king

    Inadaiwa Shoga kanaswa na Camera za polisi Jinsi alivyojibadilisha na kuwa mrembo

    Aisee ulimwengu huu tukoelekea si kuzuri... eeh Mungu tusamehe
  5. Riz king

    Feisal toto kataa wito wa taifa stars tena

    Ila Feisal ni mchezaj naachana na ushabiki mandazi. Tafuta timu bwana mdogo unaanza kutukwaza
  6. Riz king

    Feisal toto kataa wito wa taifa stars tena

    Sijapendelea upende Fei atafute Tim la sivyo nauona mwisho wake kwenye football
  7. Riz king

    Feisal toto kataa wito wa taifa stars tena

    Hujui tu mdogo wangu hauna match fitness unakubalije kwenda national team bila kuelewa kua ni kampeni ya Yanga kukudhalilisha. Achana na misifa ya kuitwa Stars ukajiona we unafaa dogo tafuta timu hata kama ni simba au ihefu... we nanda mpira ni kama shule bila kusoma huwez kufaulu. GSM...
  8. Riz king

    Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Mijitu mingine kila wakat kulalamika. We umeona majina gan yamepenyezwa.
  9. Riz king

    Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

    Morrison anajua kutafuta hela, yani anatumia akili ndefu kuishi na mawenge ya sisi watanzania tulio na upungufu wa vipaji vya soka. Ghana hawezi kuleta udwanzi wa dzain hivyo maana kumesheheni vipaji vya kutosha. Wachache watamwona mwehu ila anajua kucheza na mindset za wabongo
  10. Riz king

    Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Yaani hakuwa muungwana na ata wakimzodoa huko aliko simhurumii. Yani kulikuaga na katim flan kanakueleza et mpaka uwe kada na makada walipata ajira fasta mtu kamalza chuo leo ajira zktangazwa mwezi kesho yumo wakat hata cheti hajapata. Yani Mama Samia hii nchi aiongoze milele tu pamoja siipendi...
  11. Riz king

    Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Ni kipindi kile cha Magufuli mpaka eti uwe CCM ndo uajiliwe. Nimeona mengi sana enz Heri James anatuma majina ya UVCCM na wana ajiriwa wengne msubili mpaka CCM waishe. Mama Samia kabadilisha huo ujinga hamna
  12. Riz king

    Hizi ajira za TAMISEMI zinatoka baada ya muda gani?

    Wajuzi wa mambo hii PDF inayosubiliwa na vijana wenzangu wa Kitanzania huchukua kipindi gani hadi kukamilika.
Back
Top Bottom