RUN AWAY, NAJUA ITAKUSUMBUA BUT RUN AWAY NO MATTER WHAT,KITENDO CHA KUANZA JEURI ULIPASWA UONYESHE UNAWEZA KUMUACHA,HUYO SIYO WAKO ILA WATOTO
Usiteswe na dunia ya mapenzi, ukikubali hivyo utaishi kwa maumivu hadi unaingia kaburini- kubali, ifundishe akili kukubali yameisha na hakuna namna😊
Mkuu utajiri wa mtu na mtu unaenda kwa level na nyota-ni kama ulivyoanza primary to University angalia watu ulokuwa unawaacha..si kwamba ni wajinga ila ni level yao au nyota(bahati) yao inaishia hapo.
UCHENI KUKAZA KA MITOTO
Habari
Kuna baadhi ya clip hata kama ushaiangalia zaid ya mara 10 ila kila ukiingalia tena lazima ikuchekeshe au ikukumbushe jambo fulani
Weka hapa tufurahii😁
Zangu ni hizo,sijawahi kuzifuta kabisa
Asee ata wanaume kuna species nimeamini
Mimi nina principle 2 tu manzi afate nachotaka au tuachane.
Spendi drama
Mwanamke tena mke anakusumbua?? Atakuwa jeuri ila vitu vya msingi lazima afanye nyapu atatoa na chakula for family lazima aandae,lazima awahi kurudi na lazima aniage au anijulishe...
Upo kama mimi mkuu ila shida ni moja nikifanya mara kwa mara nakonda ila nkifanya kwa kiasi nanawiri utafikiri wakishua kumbe choka mbaya ,then confidence ya kuapproach inakuwa juu,kiasi kwamba kila manzi naona hawezi kuchomoa..
Kipindi namuacha,hakuwa na Mimba nor mtoto ila after few day akajirudi yakawa kam yameisha kilichojili ni Mimba bible,mpaka sasa hatujaachana japo ups and down ni nyingi Akitulia ntamuoa ila shida ni ye kuvumilia hadi nijipate hapo ndo kipengele mi bado najitafuta kitaa,milango aijafunguka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.