Recent content by Ritchie Mushi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mazoezi niliyoyaona Ukonga na Moshi, wana UKUTA badilini gia!

    Acha mikwara wewe
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Bandari nchini TPA imesema inakabiliwa na upungufu wa mizigo

    Yani me nadhani mantiki kubwa ni kwamba wafanyabiashara wamekimbia kutokana na maamuz magumu yasiyo na tafiti wanayokutana nayo
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tuwadai Clouds Fm risiti za EFD...Wamezidi kujipendekeza

    Siwapendi kwa mbishe zao za kujidai shupalia vitu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa jambazi kwa muda mrefu, nahitaji kuokoka sasa

    Ila naonaga ndio kimbilio wacheki wenye imani hzo wakushauri
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumwazimisha mtu gari ni hatari, nimekoma

    Hapo ilikuwa ni mke afuate jombaa siku zote kuwa na maaamuzi magumu acha wakuchukie tuu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa tafsiri mpya ya neno demokrasia!

    Tutafka tuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

    "Ili upate kupona njoo na elfu ishirini na tano ya kukany aga mafuta" Nina card ya NSSF VEEEPEEE
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi: Fedha bandia ina thamani?

    Dah hiyo Kali kwahyo kwenye feki kuna original? Ila sishangai tcra walisema watafungia fake phones na wakaeleza ni jinsi gani ya kujua ipi fake ila zpo znafanya kazi hii ndio tz sasa ivi ni kuhamia Dodoma raha sana am proud to be Tanzanian cjui nyinyi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi: Fedha bandia ina thamani?

    Kweli hawezi tengeneza noti ya elfu kumi kwa thamani ya elfu kumi kwani hapo faida hatopata as we know aim of any business is profit making
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi: Fedha bandia ina thamani?

    Nadhani ina thamani kwani mpaka ikamilike imeptia process kbao even resources have been applied
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tunabebeshwa mzigo mkubwa: Watoto Japani wasema Tanzania wanaishi masai na wanyama tu

    Tumekalia kujua vitu vya kijinga kama hii habari itawapanikisha ilebaya watafititi wamesema helium gas ipo Tanzania ila hatuwezi ulizia hata inatumika wapi ili tujue LA kufanya shit news like hii it will keep u busy ujinga
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi vitendo ni balance of nature..

    Nalo neno Mr that's our theory ifanyie kazi
Back
Top Bottom