chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,412
- 1,909
Fedha bandia ina thamani?
Basi noti bandia ya elfu 10 haiwezi kuwa na thamani ya shs 10 vinginevyo watengenezaji wasingekuwa na haja ya kufanya hivyoNadhani ina thamani kwani mpaka ikamilike imeptia process kbao even resources have been applied
Kweli hawezi tengeneza noti ya elfu kumi kwa thamani ya elfu kumi kwani hapo faida hatopata as we know aim of any business is profit makingBasi noti bandia ya elfu 10 haiwezi kuwa na thamani ya shs 10 vinginevyo watengenezaji wasingekuwa na haja ya kufanya hivyo
Dah hiyo Kali kwahyo kwenye feki kuna original? Ila sishangai tcra walisema watafungia fake phones na wakaeleza ni jinsi gani ya kujua ipi fake ila zpo znafanya kazi hii ndio tz sasa ivi ni kuhamia Dodoma raha sana am proud to be Tanzanian cjui nyinyiNa kwa taarifa tu zinazokamatwa ni zile ambazo zina viwango hafifu sana.
Kuna nyingine kwa macho si rahisi kutambulika na mtu yeyote yule.
Ahsante mkuu..naomba mamlaka husika zikikamata pesa bandia wasiseme zina thamani (ya kiasi Fulani),waseme zinafanana na kiasi fulanipesa bandia haina thamani yoyote,kiuchumi sifa ya pesa,ni lazima iwe inatengenezwa au kuchapishwa na mamlaka husika.
kweli,huwa wanakosea sana😀Ahsante mkuu..naomba mamlaka husika zikikamata pesa bandia wasiseme zina thamani (ya kiasi Fulani),waseme zinafanana na kiasi fulani