BTW kupeleka watoto shule wapate elimu
You mean elimu bure not only in delivery but also content? hio ya watoto kukaa kwenye vumbi au kusomea chini ya miti? hebu take your time upite shule hasa za rural areas uone hali ilivyo., kwa hio kupewa kiloba cha unga ndio maendeleo to you? LOL
Soma vizuri dhana ya maendeleo na indicators zake, no a single developed country iliignore kwanza maendeleo ya wananchi wake na kwenda kuinvest kwenye manunuzi ya ndege ambayo kimsingi zinajiendesha kihasara ., maendeleo yana stages na yanaanza stage ya chini kabisa ngazi ya an individual...
Kununua madawati ni kula ? kununua dawa na vifaa vya hospitali ni kula ? kuwapa wanafunzi wa elimu ya juu wasio na uwezo wa kujilipia ada na gharama za masomo ni kula? Tunatengeneza nchi ya namna gani?
Umenene vyema, sisi ni least developed country bila kujali tunamiliki ndege wapi, kama serikali yetu haitajali kuwapatia watu wake huduma nzuri za afya, shule, maji, umeme na makazi mazuri basi bado sisi ni masikini tena wa kutupwa kwa kua maendeleo ya awali yanapimwa kutoka individual level na...
Nachelea kuamini ni Mwakibinga huyu huyu wa UDOM, ama kweli njaa sio kitu kizuri, anachokisema Mwakibinga ni pure nonsense hajajibu hoja zilizotolewa na maaskofu , ni porojo na UMusiba uliopita kiasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.