Recent content by Rio De Jeneiro

  1. R

    JamiiForums Tanzania Shabani Dede Kamchape Muhaya aliyetunga tungo za maana na kutuburudisha.

    Shaaban Dede nyimbo zake na uimbaji wake ulivuma sana enzi zile za Bima Magnet 84 na nyimbo kama "Usiniache peke Neema," "Bom la simanzi limepasuka hadharani" na nyingine kibao. Ila hapo umemtaja Roy(Rweyemamu Bashekanako) Bresa Kakere na Jumbe Batamwanya na sauti zao za kipekee. Hao...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tunalimiss sana soka staili ya samba!!

    Tele Santana kocha maarufu aliyefundisha kikosi cha Brazil 1982 na 1986 alikua muumin mkubwa wa samba. Aliwahi kuielezea falsafa ya soka la samba kwa kusema "Soccer ni sanaa. Samba ni kucheza mpira mzuri sana unaowafurahisha watazamaji, unatengeneza nafani na kufunga magoli" Brazil ilipata...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Huzuni: Vale Nafaka kaumia mguu anatembea kwa kuchechemea

    Indeed, the book is so nice Moisemusajiografii . That woman Mumbi was my hero, her husband Gikonyo was a Mau Mau fighter. When he was released from detention after some years, he came home to find Mumbi with a little child! The bitter truth was that the father was his old friend Karanja who...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Huzuni: Vale Nafaka kaumia mguu anatembea kwa kuchechemea

    Grain Of Wheat is one of the best novels za Ngugi wa Thiong'o
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

    Poa za kabisaa.Chmbn
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

    Shadeeya hujambo? Chm
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaibomoa kwa juhudi kubwa boti tuliyopanda, hatujui tulifanyalo?

    MKANGAFFU hapo ndio inaposhangaza kwamba chuki za kutukanana na kukashifiana za nini? Kwanini kama ni mfuasi wa dini asishike na kuishi mafundisho ya dini yake hadi aiparure dini au imani ya mwenzake? Kinachochekesha ni kwamba hawa Abrahamic wala hawana shida na wanaosema hawaamini dini yoyote...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaibomoa kwa juhudi kubwa boti tuliyopanda, hatujui tulifanyalo?

    Bahati mbaya wanaofanya hivi hawajui kama hiyo wanayocheza ni karata mbaya saana
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaibomoa kwa juhudi kubwa boti tuliyopanda, hatujui tulifanyalo?

    Mkuu Smart911 huwezi kupita katika majukwaa mawili humu JF bila kuona nyuzi au michango yanye viashiria vya uchochezi wa kidini na kukosa kuvuliana,wa imani moja anatukana nyingine kila mmoja akidai ni bora kuliko imani ya mwenzake
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaibomoa kwa juhudi kubwa boti tuliyopanda, hatujui tulifanyalo?

    Mkuu suala hili ni mtambuka (cut across issue). Factor za ndani kama usemavyo zinazosababishwa na wanasiasa kwa kujua au vinginevyo zinasaidia ku pusha agenda za nje. Hatua za kukomesha uchochezi zisipochukuliwa mapema tutaharibu Taifa letu Rwanda ilipitia njia ngumu sana na wamejifunza kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaibomoa kwa juhudi kubwa boti tuliyopanda, hatujui tulifanyalo?

    Mitandaoni ikiwemo majukwaa makini ya majadiliano kama humu JF utagundua kuna kampeni za wazi, kubwa na zilizoratibiwa vizuri kuchochea chuki za kidini hasa baina ya waumini na waamini wa dini mbili kubwa za Ukristo na Uislamu. Watu wanatukanana na kukashifiana kwa dini zao kwa kiwango ambacho...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Katika yote suala la kuhatarishwa maslahi ya uwekezaji wake ndio la msingi na linalowafanya Marekani watake kuchukua hatua dhidi ya nchi yoyote ile. Maslahi yao yakihakikishwa hakuna cha haki za binadamu, utawala bora wala inayoitwa demokrasia. Watapiga kimya na kufumbia macho kama hawaoni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa 69% ya wakurugenzi wa wilaya bara ni kutoka Zanzibar

    Bila kujali mtu upo upande gan katika mjadala huu ni kanuni ya kisheria na ki mantiki kwamba wajibu wa kuthibitisha madai au hoja ipo kwa mleta madai/hoja na kamwe mzigo huo asibebeshwe mtu mwingine. Ni hatari na kwakweli si uungwana kutoa madai ya jumla jumla halafu eti anaye hoji au kupinga...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa 69% ya wakurugenzi wa wilaya bara ni kutoka Zanzibar

    Dah! Kumbe madai haya ya kua na 69% ya Wakurugenzi wa Halmashauri hayajafanyiwa tafiti kujua kama ni ya kweli au uzushi!!!? Halafu watu wameparurana hapa kwa uzushi tu Tuleteeni data kusapoti hoja na kuipa heshima mijadala ya JF
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia vipimo kisha nikaambiwa nilipie tena kupewa majibu katika Hospitali ya Rufaa ya Tumbi - Kibaha

    Jumatatu moja nilimpeleka Mzee wangu (hana Bima) Amana Hospital Dar kumuona Urologist, tukalipia consultation fee 10K . Wakati majibu ya vipimo yanatoka Dr alikua ameshaondoka ikabidi kurudi next Thursday ambayo ndio siku ya clinic ili asomewe majibu yake Tuliporudi hiyo siku tukaambiwa tulipe...
Back
Top Bottom