Ukute jamaa kaibiwa simu Tena Kama kwenye umoja-97 ndo maana yupo kimya tunapata hofu huenda labda hatumii hili jukwaa maana Arosto imezidi aiseeeee maqn tangu February huyu jamaa hasemi neno kabisa Wana uzi
Kwa kinachoendelea si nafuu kabisa kwa wanadamu wenye kuvuta hewa na kinachotakiwa inferior (Ukraine) ajishushe tu kwa Russia(superior) hii itapunguza maafa kwa watu wasio na hatia kabisa Tena wa mataifa mengine. Na hili TANZANIA tujifunze kwa majibu waliopewa majirani kutaka kutia mguu
Hata state attorney wameshaona kwamba wanajidhalilisha maana Kuna tym wanatoka mchezoni kisa Shahid kayavuruga wanaonekana hawana ubinadamu Ila ndo hvo waneambiwa waende hvo hvo sometimes unaona kabisa hapa napigwa nipeleke nolle Ila unapelekaje kiongozi wako kabana.
Huyu Hana analolijua zaidi ya kutetea ugali huwezi kusema ww Ni balozi wa tembo wakati asilimia kubwa ya tembo wako Serengeti na kilichopo ngorongoro Ni faru na wanyama wengine kwani wamasai Wana shida gani wapo huko hata kipindi hajazaliwa awamu ngapi zimepita zikawaacha hapo Leo mje kuwatoa...
Unaijua utaratibu wa magereza lakini au unaongea as if hayajawah kukukuta hapo sio wameenda umiseta kwamba watoto wa boarding watapewa chakula na wasamalia hapo wako chini ya magereza ko hawapewi chakula bila amri ya magereza
Hii Ni muvi ambayo one reflect kilichopo kweny shirika la kijasusi la mrekan na hata abandonment ya majasusi wanapokuwa Wana feli mission inafanywa Sana ili taifa kunitoa kwenye liability Ila hii muvi hatari Sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.