Hui hofu juu ya Dini nyingine itatuweka pabaya hivi karibuni. Arusha masheikh feki walipandishwa NMC grounds na hakukua na thread ya kulizungumzia hilo, hebu tujadili
yanayojenga yaliyoletwa na yatokanayo na mkutano huo na kama yana tija kwa taifa! Udini hautatufikisha mahali.
Unaonekana hujui usemalo,hata habari za kimataifa za ki-copy paste kwenye magazeti huwezi kuzielewa!? Akili mgando kweli! Kama Syria kuna fitna basi ni za US na washirika wake na uwezo wako wa kufikiri umegomea hapo!
Una mboyoyo sana kwa ufinyu wa mawazo yako!kwa mtaji huu hamtawahi kujadili mambo kwa ufanisi na kuyapatia ufumbuzi.
Kama huna la kuchangia kuwa msomaji!
Mbona mnashindwa kujibu Pengo ana nafasi gani katika (taifa) la vatican hali ya kuwa yeye si raia wa"nchi" hiyo?
Zinazowagusa mnarukaruka tu! Tuendelee na mada ila najua point ya Mukandara has been driven home and got u thinking!
FF
Wala usipate shida,wenzio wametumwa na chama cha kanisa,ndio maana wanataka kuharibu mad kwa porojo zao za siasa.Waanzishe mada nyingine ya siasa hizo tutachangia!
Swadakta mzee Said,huna haja ya kutukanana na mtu.tunasoma na kuelimika mwisho wa siku tunafanya maamuzi na si kutokana na maandishi yako tu bali na vitabu/mijadala mingine n.k.Umefanya ulichojaaliwa na kwa mtu aliyezaliwa kabla ya 1953 kutoa lugha chafu kama zake haishangazi kuona mjukuu wake...
Kwa mimi mkazi wa Muheza nakushangaa sana unapojifanya kutoa shahada na kusema uongo mtakatifu ili tu upinge hoja.Tunalipia kila huduma inayotolewa teule!wacha uongo!
Mbona hizi ni hadithi za alflelaulela?Tafadhali tujuze nini maana ya neno Agha Khan kabla hujatuambia ni cheo cha ki-Imam.
Imam ni cheo cha kiongozi wa waumini chenye vigezo vinavyotumika kumpata na sio kurithi kama unavyolazimisha watu waelewe upotofu wako ktkt swala hili.Kuna...
Kwa fikra kama zako ni wazi hakuna ukombozi wa nchi wala wananchi wake!Badala ya kutoa mchango watu wajadili vipi namna ya kuondoa makovu haya yaliyojaa kwenye jamii zetu unaleta siasa za ccm na chadema ambao basically wote ni wale wale hawana jipya wanataka kuongoza walio hoi kiuchumi na...
Mzee!! Majina ya Kiislam yapo na ya kinaswara pia yapo ndio kama Yasin,Tawfiq n.k na ya kinaswara ndio kama Williams,jackson,james,underwater,underbridge n.k . Upo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.