Ukiwa huna hela, ukimchatisha mwanamke (WhatsApp) anayekujua kuwa huna hela huwa ana-reply kwa emojis tu.
Emojs zenyewe ni zile GIF. Wakati mwingine hata ukimtext jambo la serious ambalo halichekeshi, yeye ana-reply kwa emoj ya kucheka.
Kama unamtext mwanamke lakini hakujibu kwa maneno...
Wakuu kwema?
Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH.
RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule.
Right Marker
Dar es salaam
Ni kweli hujamuelewa. Anasema hivi; sheria ilikuwa haiwaruhusu TISS kukukamata wewe. Polisi wasiokuwa na magwanda watakukamata wewe kwa kujitambulisha kwa majina yao, kituo chao cha kazi, kukuonyesha kitambulisho cha kazi, watakwambia kosa lako, Kisha wanakukamata.
Katika pita pita zako za mapenzi na mahusiano, hakikisha unamuogopa mtu mwenye kauli hii; "Mimi najiamini, kila mwezi napima UKIMWI".
Ukikutana na mtu mwenye hiyo kauli hakikisha unavaa, yaani usiache kuvaa mipira. Kama huna desturi ya kuvaa basi kimbia mbio.
Right Marker
Dar es salaam.
Tukifanya kazi bila ukomo vijana wanauliza; 'kwanini hatustaafu ilhali kuna kundi la vijana hawana ajira'
Tukiamua kustaafu vijana hao hao wanauliza; 'kwanini tumestaafu au tumegombana na mabosi zetu'.
NB: Basi niwaambie kitu wazee wenzangu; binadamu hawaachi kusema, hasa wale ambao wanatamani...
Madalali watakuwa wameshanielewa. Ni ngumu sana kufanya biashara na mwanaume anayekwambia usubiri akamshirikishe mke wake ili mkewe atoe "Go ahead" ndipo mfanye biashara. Hiyo si biashara tena, ni mahaba😀
Hakuna ambaye hajui kuwa asilimia kubwa ya wanawake sio risk taker, wengi ni waoga ingawa...
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).
Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana.
Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu.
Aisee hawa jamaa...
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu.
1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya kufanya uamuzi....
Hawa ni watu ambao wanapata majibu ya uamuzi kabla ya kufanya uamuzi. Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.