Recent content by ridculouz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea mradi wa mji mpya wa Kigamboni?

    Unatafutwa na watu wasiojulikana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Mkuu napenda maendeleo ndoo maana naota ndoto za kima endeleo endeleo . Nina kiu na maendeleo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Kuna mpango wa mji wa kisasa wa kigamboni sijui uliishia wapi !!! Nadhani ulisemekana unafadhiliwa na George Bush !!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Yatapita barabara ya chini inakuwa na lane yake kama kawaida
  5. R

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Mkuu wataku tundu Lisu hawa jamaa saiz hawataki utani
  6. R

    JamiiForums Tanzania Flyover inayofaa Ubungo ni hii hapa

    Hapana mkuu nimedownload picha kwenye internet alafu nika ingia play store kudownload app ya ku edit .
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kuja Dar es Salaam, wajuzi wa maeneo nisaidie

    JF member wako smart sana sidhani kama watashindwa kumjua catfish Catfish Someone who pretends to be someone else, especially on the internet. Found on anywhere from instagram to twitter to chat sites, thesepeople use fake pictures to disguise who they are.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Usipitie barabara ya Mandela Dar sasa hivi

    Saffiii mkuuu wazo kama hili wakati nafungua huu uzi limenijia .... kushuka chini naona comment yako daaa safii
  9. R

    JamiiForums Tanzania DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Mkuuu hoja yako ina uzito mkubwa sana Hongera sana . Huyu ndoo Great thinker
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ana Kesi 17 kwa DPP zinazomsubiri mpaka Sasa

    comment zingine duuuuu nimenawa mikono
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Easy Tv yazikwa rasmi

    Alafu wameiita lowest cost !!!!!!!!!! Nafwaaaa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Easy Tv yazikwa rasmi

    Mkuu dstv facebook nimeona maelezo haya kwa mimi wa hali ya chini sijui we mwenzangu BOMBA - Tshs 23,500 DStv Access offers 66 quality channels of family entertainment at the lowest cost in the market. Subscribers have an extensive choice of family entertainment, combining general...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Easy Tv yazikwa rasmi

    umeona mkuu yatakuwa yale yale tuu kujaza ving'amuzi nyumbani visivyo fanya kazi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Easy Tv yazikwa rasmi

    Hapana continental mhhh
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Easy Tv yazikwa rasmi

    Hawa walikuwa wabahili sana wangekuwa makini wangeweza kufanana kidogo na dstv kwa wingi wa wateja
Back
Top Bottom