Kwa sababu ni watoto...ili kuwasaidia ni vema wakafanya katikati ya wiki ili kufanya akili zao ziwe active kuliko uwakurupushe kutoka wikend wakaanza mtihani mwanzo wa wiki.
Nadhani all of us we are familier kuhusu watoto wetu hasa unapowaamsha siku ya jumatatu kwenda shule ukizingatia...
Siwezi ku-support hayo maamuzi ya kigaidi kila siku kutest makombora ya nuclear...wakati Hiroshima JAPAN hawataki hata kusikia maana kilichowapata wanakijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani ni muda wa serikali pamoja na watendaji wake kuchukua hatua...haijalishi ni kilinge cha nani wala nani...kinachotakiwa uondolewe.
Na serikali ndio sisi tunafikishiana taarifa ili wenye dhamana wafanye kazi yao.
Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.