Recent content by richierevo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    Naomba kuuliza ivi ile miezi 30 waliosema reli itakamilika ni hiyo ya dar to morogoro tu au dar to mwanza???
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afuta posho kwa watumishi wa umma nchini

    kwakweli tunanyooka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    SIKU 10 baada ya kupokea taarifa inayoeleza utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko Hifadhi ya Grumeti, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu kuchunguza utaratibu huo, ikiwa ni pamoja na kutafuta...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Makonda anatoa wapi haya ma milioni?

    naomba kuuliza, kwan huyu home shopping center ambae sa hv kabadili jina anajiita discounting center ndo huyo huyo mwene GSM group of companies??
  5. R

    JamiiForums Tanzania GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

    very correct asseh! chuo kuna mbinu nyingi sana za kufahuru ambazo ziko kinyume na sheria so kuangalia GPA tu peke ake haitoshi kutambua ubora wa mtu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama hukusoma shule hizi kongwe, wewe ni mmoja wa vilaza mliopo hai

    me nimepiga mara sec na nsumba sec
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza kusitishwa zoezi la kuwaondoa Machinga Mwanza na wachimbaji wadogo migodini

    tatizo lake haeleweki! mara toa mara rudi khaa!! anabore sasa, anakurupuka kufanya maamuzi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

    hata kama watu wanakosea lazima mtu utumie maneno ya kiungwana na maadili tena especially mbele ya hadhara! kwa upande wangu mh makonda hajatumia ustaharabu na hekima kwa yule mama
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    dont judge me judge your government! it wasnt my idea iwas trying to emphasize whats going on
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    hawajakataza dangote kuchukua makaa ya mawe south! the issue is dangote ilikua inaingiza izo material free yaan walikua hawalipi tax,jk aliwapa tax exemption,sasa hv wameambiwa wavune makaa ya mawe hapa na kama wanaona ni low quality bhasi wakiagiza wanapigwa tax kama kawa sasa hii ndio sababu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    the fact is, dangote ilikua inachukua materials south africa na walikua wanaingiza hapa nchini free yaan walikua wana tax exemption na hivi ndivyo walivokubaliana na awamu iliyopita ya jakaya, sasa awamu hii ya jpm wakawambia those materials zinapatikana hapa kwahiyo wachukue hapa hapa na kama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Shisha Dar: RC Makonda aumbuliwa na Waziri Mkuu mbele ya Kamanda Sirro

    ivi vyeo vya kupewa navyo ni matatizo matupu huyu makonda ana sifa za kijinga na anapenda sana sifa,anataka aonekane kwamba ni yeye pekee ndo anajua kufanya kazi dar es salaam hii nzima! anapenda sana kutumia vyombo vya habari ili aonekana anafanya kazi sana lakini hakuna lolote zaidi ya mboyoyo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    izi ngonjera cjui mpaka lini
  14. R

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    huyu nae sasa naona mambo yakuongea hana tena, me naona aanze kupunguzwa yeye kwanza hafu wengine ndo wafuate, yaani hawa viongozi wa juu kazi yao wao kuongea tu lakini utekelezaji upo ngazi za chini sasa asichukulie simple tu! yeye mwenyewe ni mlopokaji na misifa kibao but utekelezaji zero
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hakeem 5: Ali kiba ana roho mbaya, siwezi kumuomba msamaha

    hakeem 5 kafulia anatafuta kiki tu!
Back
Top Bottom