Mi sijawahi kuona mtu mjinga kama Nyarandu hi kwa uozo alio ufanya ni nani ampe uongozi ameuza ndovu na twiga ameondolewa kwenye sistim ya uongozi Sasa povu linamtoka CCM ni kubwa kuliko Nyarandu nenda mwana kwenda
Na hata hivyo pia kwangu mimi sioni kilicho pungua kwani CCM ni kubwa kuliko Nyarandu kama walivyo toka wengine na CCM bado ikawa Imara Bado itaendelea Kuwa Imara Na hata hivyo amejiona hana chake tena ndani ya CCM kwani Alisha ondolewa kwenye sistim ya uongozi ndani ya Serkali na kilicho Kuwa...
Yaani wale mafisadi na chaka Lao ndani ya CCM hakukaliki ni lazima waingie mitini kwanza Katika watu walio Kuwa wanavuliwa uana Chama ndani ya CCM nyarandu namba moja amepata tetesi ameona aingie mitini chipi inambana hakuna kichafu kitakacho bakia ndani ya CCM hii ni CCM MPYA kila mwenye Dosali...
Wewe kama ulisha laaniwa ulilaaniwa tu kamwe laana hiyo haita kutoka mtu mmoja amesimama kwaajili ya Watanzania na Taifa kwa ujumla bado mnashindwa kumsapoti hakika nimeamini Nabii hapati heshima kwao Nchi ilikuwa haina ndege hata moja huyu amethubutu bado tunamdhihaki hakika wenzetu mataifa...
Nyinyi mnao gongwa back hamtusumbui unaacha kumchukia baba yako kwa kukufanya mjinga kama yeye unamchukia baba wa mwenzio ambae yuko Ikulu we chizi ukikosa cha kupost acha unakuwa kama hamolapa
CCM hakihitaji Umaarufu mtandoni wewe kweli zumbukuku ulimwengu upo huku Chama kilicho shika dolla kinahitaji Umaarufu gani Zaidi ya Huu wa kushika Dolla Dunia nzima inajua Rais wa Tanzania anatokea Chama gani Sasa wewe unataka Umaarufu Chama chako kinajulikana mwisho Mbagara kweli nimeamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.