Polepole: CCM Itashindwa Iwapo Uchaguzi utakuwa wa Haki na Huru

Polepole Humphrey ameitabiria CCM kushindwa iwapo uchaguzi utakuwa wa haki na huru



Njaa mwanaharamu inaweza kumgeuza Mtu kuwa mtumwa itakavyo! Polepole huyu sio wa tume ya warioba. Kwa namna alivyo lazima atakuwa mtu wa ndimi mbili kama mwakyembe
 
Huo ndiyo ukweli usiopingika.....

CCM bila mbeleko ya Tume za uchaguzi na vyombo vya dola, ni wepesi kuliko tissue!
 
Hilo liko wazi kama jua.

Kwangu mimi ni kwanini sisi wenye kujua (kama na wao wanavyoujua huo ukweli) hatuchukui hatua stahiki.

Ndio maana CCM hujiandaa kwa uchaguzi kila siku badala ya kuwatumikia wananchi.
 
Hivi wakati Polepole anaongea haya alikuwa chama gani ? Kama alikuwa CCM tangu cku nyingi basi aliwavunja nguvu wenzie sasa cha ajabu mtu aliyeongea haya kapewa ukatibu uenezi na mama wa watu Sophia Simba katimuliwa hebu ngoja tusubiri majibu ya kikao kijacho cha CC nani tena atatolewa
 
Duuu imekula kwako naona unatafuta Kiki za hamolapa maneno hayasikiki unafikili kwa kufunga inawezekana mtajisumbua kaa kimya kama huna cha kuopst
 
Back
Top Bottom