Recent content by Richer

  1. R

    JamiiForums Tanzania Buruani: CHADEMA kila wakizunguka wanataka Katiba mpya, Kuna mwananchi anakula katiba hapa?

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruan, amewajia juu wanasiasa wanaopigania mabadiliko ya Katiba Mpya, akidai kuwa ajenda hiyo haina tija kwa wananchi wa kawaida. Akizungumza mbele ya wananchi, Buruan amesema kuwa wananchi wengi hata hawaijui...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii. Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Daraja la Bonyokwa lililojengwa kwa Bilioni 24 lazua utata kuhusu uwajibikaji na uchekechuaji wa Miradi ya Serikali

    Daraja la Bonyokwa Kupitia ukurasa wa Martin amefanya uchambuzi kuhusu ujenzi wa Daraja la Bonyokwa uliogharimu Bilioni 24, ameandika: Daraja la Bonyokwa lina urefu wa mita 25 na ujenzi umegharimu kiasi cha TZS 24 Bilioni. Daraja la Kilombero lina urefu wa mita 384 ujenzi wake umegharimu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kapinga azindua Kitabu cha Muongozo wa gharama na upangaji sahihi wa bei za Kei

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga(Mb), Leo Oktoba 3, 2026, amezindua Kitabu cha mwongozo wa upangaji bei za keki kilichoandaliwa na mmoja wa wajasiriamali hapa nchini bi Tahya au Leymax, ambapo amempongeza Leymax kwa kutoa mchango kwa wajasiriamali wengi hapa nchini.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Rais wa TFF amesema wachezaji wa timu zote wameruhusiwa, siyo Yanga Pekee

    Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amesema amezungumza na Rais wa TFF, Wallace Karia, ambaye amemhakikishia kuwa si wachezaji wa Yanga SC pekee walioruhusiwa kuondoka kambini Taifa Stars nchini Morocco. Baada ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya FAR Rabat, wachezaji wa Yanga, Simba SC na Singida Black...
  6. R

    JamiiForums Tanzania TFF yaruhusu wachezaji wa Yanga kuondoka Kambini Morocco

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Instagram Jemedari Said amechapisha: "TFF imewaruhusu wachezaji 4 wa YANGA SC walioko kambini Morocco na Taifa Stars kurudi Dar es Salaam ili wajiunge na Kambi ya timu yao inayojiandaa na mchezo dhidi ya Simba SC hapo tarehe 10.10.2026. Yanga SC waliomba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania BASATA: Harmonize amepewa mwezi 1 wa uangalizi

    TAARIFA KWA UMMA Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linapenda kuujulisha umma na wadau wa Sanaa kwamba Msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize amefika BASATA leo tarehe 02/10/2026 na kutekeleza masharti aliyopewa kabla ya kuendelea na shughuli za Sanaa. Hata hivyo Msanii husika amepewa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi DUWASA: Bomba likipasuka mbele ya mita hiyo ni hasara ya Mwananchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, amefafanua kuwa uvujaji na kupasuka kwa mabomba ya maji yanayotokea kabla ya mita ya mteja ni hasara inayobebwa kikamilifu na mamlaka hiyo na wala si mwananchi. Akizungumza leo Oktoba 2, 2026 kwenye...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Hii ni survival for existence 😂😂
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Adeyemi ashtakiwa kwa kuanzisha Taasisi Feki ya Serikali na kutengewa Dola Milioni 1 kwenye bajeti kuu

    Septemba 30, 2026 Mwanamume mmoja nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Adeniyi Adeyemi alifikishwa Mahakama ya Abuja akituhumiwa kuunda kinyume cha sheria taasisi ya serikali, kujiteua kuwa mkuu wake na kufanikisha kutengewa fedha katika bajeti ya serikali. Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Buguruni: Jiji kuwa chafu ni kweli si jambo la lakuficha linaonekana kwa macho

    Diwani wa Kata ya Buguruni na Mjumbe wa Kamati ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Zahoro Muhaji, amesema kero ya uchafu na uondoaji wa takataka imekuwa changamoto kubwa inayowakosesha usingizi madiwani wengi jiji la Dar es Salaam. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na M & S Podcast...
  12. R

    JamiiForums Tanzania MPYA Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha

    Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha (hasa kama sehemu ya mtindo bora wa maisha), ingawa si mbadala wa dawa kama una presha tayari ya muda mrefu. Hivi ndivyo unavyoweza kuutumia kwa ubora zaidi na kupata matokeo ya kudumu: Kwa nini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana: Mkataba wa Marekani ulitaka tutoe taarifa za wagonjwa wetu na dawa zao kutokaguliwa, ilikuwa ni jambo la kudhalilisha

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Septemba 28, 2026, na Council on Foreign Relations (CFR), Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameeleza sababu zilizofanya nchi hiyo kukataa haraka mkataba wa Msaada wa afya uliopendekezwa na Marekani. Akijibu swali kuhusu uhuru wa Ghana katika masuala...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Ipo siku ukweli utashinda na haki itashinda

    Akizungumza leo, Septemba 29, 2026, Mkoani Morogoro wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa 31 wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally, amesisitiza kuwa kama vile nchi inavyotakia amani na haki mataifa mengine duniani ni...
Back
Top Bottom