Recent content by Richard tadeo

  1. R

    Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Sio kweli kuwa mradi utaanza baada ya mwaka miwili, mradi huu umeshaanza na kampuni ya Yapi Merkezi ambayo imeanza kujenga awamu ya kwanza ambayo inaishia Morogoro ndiyo hiyo ambayo imepewa awamu ya pili ya tayari wameshasaini mkataba na serikali kwa hiyo kwa sasa wanafanya mobilization ili...
  2. R

    Bomoabomoa ya kufa mtu Dodoma inaendelea

    Tukumbuke kuwa awamu ya pili ya ujenzi wa standard gauge imeshasainiwa hadi Dodoma,contractors ni haohao Waturuki ni lazima sasa wanahitaji eneo ambalo reli hiyo itapita kwa ajili ya maandalizi ya awali kwa hiyo zoezi hilo ni sahihi maana wakicheleweshwa kupatiwa maeneo ya reli hiyo inapopita...
  3. R

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Eti wengine wanadiriki kusema uongo kuwa hakuna kampuni waliopewa kazi kama sub contractors ,kampuni ya Waturuki Yapi Merkezi inafanya kazi chini ya usimamizi wa ma engineer nguli wa Rahco na Trl na pia chini ya consultant wa kitanzania ambaye anashirikiana na wakorea ambao wako karibu na mradi...
  4. R

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Huu mradi wa standard gauge sio wa kukurupuka na kuchukua tu materials bila kuangalia ubora wake hata udongo unapimwa laboratory ili kujua kama unafaa ,reli ikijengwa inatakiwa ikae zaidi ya miaka mia ulitaka materials za kichinachina ? Hawa waturiki wamejenga reli zenye ubora sehemu nyingi...
  5. R

    Zitto: Inawezekanaje Serikali ikasaini mkataba wa shilingi Trilioni 7 kujenga Reli na vifaa vyote vikatoka Uturuki?

    Embu watanzania tusipotoshwe na Zito ujenzi wa reli ya standard gauge ndio kwanza uko katika hatua za awali kusafisha njia ambayo wameclear hadi soga ambako ni km 51.pia kampuni hiyo inayojenga reli ya Yapi Merkezi imeanza kusafisha njia kutoka ngerengere kuelekea Morogoro ,hatua hizi sio za...
  6. R

    Mbwa aina ya German Shephard (GS) wanauzwa

    Namba yako ya simu please
  7. R

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Mtaendelea kusubiri kupelekwa mahakamani, mtasema Rais wetu mpendwa anapotoshwa sisi tunasonga mbele
  8. R

    Bomoa Bomoa Yatua Pasua, Moshi

    Mwaka 1993maeneo hayo ya Pasua wananchi waliondolewa kwa kuwa inajulikana ni eneo la reli lakini watu walianza kurudi kinyemela na wengine wajanja waliuza maeneo hayo baada ya kuona ramani ya reli. Baadhi ya watu wa manispaa wasiowaaminifu walibadirisha matumizi ya eneo hilo na kuruhusu watu...
  9. R

    Ni sahihi Mkuu wa Majeshi(CDF) kufanya Press conference?

    Tukio lolote kubwa linalogusa issue ya jeshi sio vibaya likaongelewa na Mkuu wa majeshi, nchi kama Marekani au Uingereza utaona mara zote tukio linalohusu jeshi msemaji ni commender incharge wa eneo hilo husika, kwa hiyo siyo kitu kigeni na cha ajabu kwa Mkuu wa majeshi kuongea Sent using...
  10. R

    Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    Namba za baadhi ya Magari ya taasisi nyingi au mashirika mengi na wanayoyatumia zinajulikana kwa kutumia akilia ya kawaida mwandishi au mtoa hii anaweza kutumia ujanja huo wa kuijua hii namba ikatumika labda na padri au Shehe wa eneo fulani nikisema hivyo na police wakaona ni ya hao wahusika sio...
  11. R

    Mh.Rais Magufuli,raia hatuna amani kama jamii ya "wasiojulikana" Tanzania inawazidi maarifa jamii inayojulikana

    Wakati fulani tuwe na subira haya mambo ya kufikirika hayatatufikisha Popote mbona kibiti kunadhibitiwa hamuandiki wala kupongeza vyombo vya dola mlishabikia kuandika matukio ya kuua kwa askari wetu subirini uchunguzi na upelelezi ukamilike Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

    Hamtaki ushirikiano na serikali akija balozi si ndio mtafukuza acheni hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. R

    Kuhusu Prof. Mruma: Rais kutaja chanzo cha habari hadharani ni sahihi na salama kwa mtoa habari?

    Yuko sahihi hasa ukizingatia kuna watu wanataka kumchafua Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

    Haya matokeo yanayoendelea sasa hivi ni mkakati wa idara kwani mambo mengi yanafanyiwa kazi yakiripotiwa kwa Rais na ana react positive kila akipata Taarifa kutoka idarani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom