Recent content by richard kubingwa

  1. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO yazindua mafunzo mfumo mpya wa Luku 3e

    Kwaupande wangu Mimi Tanesco nawasifu sana kwani huduma yao kwasasa imeboreka tofauti na zamani tatizo letu sisi watanzania ni kulalamika tu. Basi tuwasifu hata kwa hicho kidogo wanacho kifanya. Na swala la kukatika Umeme baadhi ya maeneo hiyo ni kutokana na itilafu zinazo jitokeza kitu ambacho...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana hoja au ni uoga wake tu?

    Huyo ajiamini usikute naye ni tabia take ndoo maana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    Ukiona hivyo wanakuwa katika mazoezi yao ya kawaida vingenevyo wangekuwa wameishatoa taarifa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tigo sasa mnakeraa kwa hili

    Kwanza pole sana ila tatizo ni tigo wenyewe na siyo Tanesco cha msingi ukipata tatizo unaliga Simu maalumu ya Tanesco ila kama hauna Namba yao hata Namba ya imegencey ya kanda yako pia watakusaidia cha kufanya na utapata uduma bila shida.
  5. R

    JamiiForums Tanzania UDSM Administration wana double standards? Kumbe Nyama Choma Festival walipigwa fitna

    Mimi sikuona umaana wowote wa hiyo nyam choma
Back
Top Bottom