TANESCO yazindua mafunzo mfumo mpya wa Luku 3e

ndalandefu

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
123
Reaction score
47
Na Yasini Silayo

TANESCO imezindua mafunzo ya mfumo mpya wa LUKU wa 3e ulioboreshwa zaidi kiutendaji kazi na kiusalaama kwa wafanyakazi wake ili kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na kuboresha uwezo wa kimfumo kukidhi mahitaji ya wateja kiutendaji kazi. Uzinduzi wa mafunzo hayo ulifanyika katika Shule ya Mafunzo ya Tanesco (TTS) iliyopo Mjini kati eneo la stesheni jijini Dar es salaam.

Akiongea katika uzinduzi wa mafunzo hayo na kuwakaribisha washiriki, Meneja Mwandamizi Tehama (ICT) Kusenha Mazengo alibainisha kuwa shirika linaboresha mfumo wake wa mita za malipo ya kabla ya matumizi (LUKU) kutoka ule wa Eclipse uliokuwa ni kwaajili ya mashirika madogo na ya kati kwenda mfumo mpya na bora zaidi wa 3e unaoendana na viwango bora vya kimataifa vya kimtandao ambao unatumiwa na mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa kiutendaji kazi na kasi kubwa ya kutunza, kupokea na kutuma taarifa mbalimbali za wateja wanaozidi kuongezeka kwa kasi kila siku.

“Tunahama kutoka mfumo wa mashirika madogo na ya kati wa eclipse, kwenda katika mfumo wa mashirika makubwa unaokidhi mahitaji ya wateja wetu kwa sasa na wenye viwango bora vya kimtandao vya kimataifa wa 3e (eclipse enterprise edition), nia ikiwa ni kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na sera ya Shirika kwa ujumla” alisema Mazengo.

Mazengo alisema kwamba, kwa kuwa mfumo huu mpya wa 3e unatumia miundombinu ya kisasa na yenye kasi kubwa zaidi, utaliwezesha Shirika kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la mita hai za wateja zinazokadiriwa kufikia milioni 1.4 kwa sasa ikilinganishwa na idadi ya mita laki 6 zilizokwepo miaka ya nyuma. Aidha shirika litaweza kujiimarisha zaidi baada ya mfumo pacha wa mauzo ya kibiashara kwa wasambazaji wa LUKU (Retail Administration system) kukamilika.

Mazengo aliendelea kubainisha kwa ufupi baadhi ya faida za mfumo huo mpya akilinganisha na mfumo uliopo sasa kwamba, ununuzi na ukusanyaji wa madeni ya umeme utarahisishwa kuwa wa haraka zaidi ambapo wateja wataweza kulipa madeni yao moja kwa moja kwa makeshia na wahasibu kwa pamoja. Mteja ataweza pia kununua umeme papo kwa papo hata baada ya kuwa amebadilishiwa tozo (tariff) yake, kufunga mita mpya au mteja anaehama kutoka mita ya zamani kuja mita mpya ya LUKU, hii ni tofauti na awali ambapo mteja alilazimika kusubiri kwa muda mrefu wa masaa mpaka siku kadhaa.

Mazengo aliongeza kuwa, sambamba na matumizi ya mfumo huu mpya, Shirika pia litaanza kutunza taarifa zake lenyewe kwenye seva moja (single saver) ambao ni salaama na wenye kasi na uwezo mkubwa zaidi na hivyo kuachana na mfumo kuhifadhi taarifa kwenye vyanzo vingi (multiple saver) vya nje unaotumika na Shirika kwa sasa.

Aliongeza kuwa mfumo huu unategemewa kuanza kutumika rasmi mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kukamilika kwa mafunzo kwa watumiaji wa mifumo hiyo nchi nzima. Aliomba pia kwa washiriki kubainisha mapungufu yatakayoonekana wakati wa mafunzo kwa vitendo yatolewe ili mapungufu hayo yaweze kufanyiwa marekebisho kabla ya kuanza rasmi kwa matumizi ya mfumo huo wa 3e mwishoni mwa Juni mwaka huu.

tanesco yazindua mafunzo mfumo mpya wa luku 3e
 
"Tunahama kutoka mfumo wa mashirika madogo na ya kati wa eclipse, kwenda katika mfumo wa mashirika makubwa unaokidhi mahitaji ya wateja wetu kwa sasa na wenye viwango bora vya kimtandao vya kimataifa wa 3e (eclipse enterprise edition), nia ikiwa ni kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na sera ya Shirika kwa ujumla" alisema Mazengo.

Katika mambo yanayoudhi ni utaratibu Wa mita za LUKU labda wenzangu hatulioni hilo ila nitaorodhosha baadhi kwa upande wangu
1. Tariff difference inabadili matumizi i.e ukinunua zaudi ya unit 50 tarrif inabadilika thou its like vocha recharging kwann huu utaratibu ni mbovu kiasi hii?
2. Matumizi ya meter za kawaida pamoja na gharama kubwa kulipa bill i.e msomaji lazima analipwa,transport costs lakini bado gharama zilikua ndogo imagine toka maybe kulipa 10000 kwa mwezi kwa meter za kawaida mpk 45,000 kwa meter za LUKU hv hii ni faida kwa watumiaji au kuwafaidisha wachache!!!!

October sio mbali nitahamasisha familia yangu yote kwa mabadiliko " I SWEAR "
 
Jamani kumbukeni Tanesco si kila kitu tunawalaumu mm kwa upande wangu naona kwa sasa wanajitaidi sana kuboresha huduma zao. Hhata hili LA LUKU Pia mimi naona changamoto waliyo mayo kwa sasa ni miundo mbinu yao kuhujumiwa na wananchi wachache wasiyopenda maendelo
 
M nazan mwisho wa mwez jun mfumo wa 3e ukianza kutumika ile hadha ya kupanga folen kwa mda itaisha kabisa haya ndo maendeleo watanzania tunataka heshima kwenu Tanesco.
 
Mkuu planner man, ebu naomba unifafanulie zaidi juu ya mabadiliko ya tariffs unaponunua zaidi ya units 50 inakuwaje hapo?

Tariffs zinapanda kwa kuwa unaonekana wewe tajiri, ama zinapungua kwa misingi kwamba unakuwa unaondoka kwenye uteja wa reja reja na kununua kwa bei ya jumla? Naomba ufafanuzi ili niwaambie wajukuu zangu wapange mfumo mpy awa kununua.

Kwa hilo la kuongeza gharama kwa prepaid kuliko gharama za postpaid ambazo zilihitaji ufuatiliaji na matumizi makubwa kwa Tanesco, ni uharamia wa hali ya juu. Nilikuwa nalo moyoni kwa ajili ya ufirauni wa serikali iliyopo madarakani kuwaonea wananchi kwa kutumia monopoly system.

Ni sawa na mfanyakazi anavyotozwa kodi kubwa za mapato kuiko secta zingine wakati hahitaji kufuatiliwa wala tra hawaingii gharama yoyote zaidi ya makaratsi na kurecord. Lakini kodi isiyofuatiluies inavyokuwa kubwa kuzidi sekitari zingine, unaona kabisa namna gani tumefanywa ndondocha kufukia mashimo yanayoachwa na mafisadi!.

Kwa hili hta tukisema hakuna seriklai ya kutusaidia. Tuonyeshe nguvu zetu mwezi October tu!.

Katika mambo yanayoudhi ni utaratibu Wa mita za LUKU labda wenzangu hatulioni hilo ila nitaorodhosha baadhi kwa upande wangu
1. Tariff difference inabadili matumizi i.e ukinunua zaudi ya unit 50 tarrif inabadilika thou its like vocha recharging kwann huu utaratibu ni mbovu kiasi hii?
2. Matumizi ya meter za kawaida pamoja na gharama kubwa kulipa bill i.e msomaji lazima analipwa,transport costs lakini bado gharama zilikua ndogo imagine toka maybe kulipa 10000 kwa mwezi kwa meter za kawaida mpk 45,000 kwa meter za LUKU hv hii ni faida kwa watumiaji au kuwafaidisha wachache!!!!

October sio mbali nitahamasisha familia yangu yote kwa mabadiliko " I SWEAR "
 
Naomba kufahamishwa. Huu mfumo una implication yoyote ya kifedha kwa mtumiaji?

Na Yasini Silayo

TANESCO imezindua mafunzo ya mfumo mpya wa LUKU wa 3e ulioboreshwa zaidi kiutendaji kazi na kiusalaama kwa wafanyakazi wake ili kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na kuboresha uwezo wa kimfumo kukidhi mahitaji ya wateja kiutendaji kazi. Uzinduzi wa mafunzo hayo ulifanyika katika Shule ya Mafunzo ya Tanesco (TTS) iliyopo Mjini kati eneo la stesheni jijini Dar es salaam.

Akiongea katika uzinduzi wa mafunzo hayo na kuwakaribisha washiriki, Meneja Mwandamizi Tehama (ICT) Kusenha Mazengo alibainisha kuwa shirika linaboresha mfumo wake wa mita za malipo ya kabla ya matumizi (LUKU) kutoka ule wa Eclipse uliokuwa ni kwaajili ya mashirika madogo na ya kati kwenda mfumo mpya na bora zaidi wa 3e unaoendana na viwango bora vya kimataifa vya kimtandao ambao unatumiwa na mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa kiutendaji kazi na kasi kubwa ya kutunza, kupokea na kutuma taarifa mbalimbali za wateja wanaozidi kuongezeka kwa kasi kila siku.

"Tunahama kutoka mfumo wa mashirika madogo na ya kati wa eclipse, kwenda katika mfumo wa mashirika makubwa unaokidhi mahitaji ya wateja wetu kwa sasa na wenye viwango bora vya kimtandao vya kimataifa wa 3e (eclipse enterprise edition), nia ikiwa ni kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na sera ya Shirika kwa ujumla" alisema Mazengo.

Mazengo alisema kwamba, kwa kuwa mfumo huu mpya wa 3e unatumia miundombinu ya kisasa na yenye kasi kubwa zaidi, utaliwezesha Shirika kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la mita hai za wateja zinazokadiriwa kufikia milioni 1.4 kwa sasa ikilinganishwa na idadi ya mita laki 6 zilizokwepo miaka ya nyuma. Aidha shirika litaweza kujiimarisha zaidi baada ya mfumo pacha wa mauzo ya kibiashara kwa wasambazaji wa LUKU (Retail Administration system) kukamilika.

Mazengo aliendelea kubainisha kwa ufupi baadhi ya faida za mfumo huo mpya akilinganisha na mfumo uliopo sasa kwamba, ununuzi na ukusanyaji wa madeni ya umeme utarahisishwa kuwa wa haraka zaidi ambapo wateja wataweza kulipa madeni yao moja kwa moja kwa makeshia na wahasibu kwa pamoja. Mteja ataweza pia kununua umeme papo kwa papo hata baada ya kuwa amebadilishiwa tozo (tariff) yake, kufunga mita mpya au mteja anaehama kutoka mita ya zamani kuja mita mpya ya LUKU, hii ni tofauti na awali ambapo mteja alilazimika kusubiri kwa muda mrefu wa masaa mpaka siku kadhaa.

Mazengo aliongeza kuwa, sambamba na matumizi ya mfumo huu mpya, Shirika pia litaanza kutunza taarifa zake lenyewe kwenye seva moja (single saver) ambao ni salaama na wenye kasi na uwezo mkubwa zaidi na hivyo kuachana na mfumo kuhifadhi taarifa kwenye vyanzo vingi (multiple saver) vya nje unaotumika na Shirika kwa sasa.

Aliongeza kuwa mfumo huu unategemewa kuanza kutumika rasmi mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kukamilika kwa mafunzo kwa watumiaji wa mifumo hiyo nchi nzima. Aliomba pia kwa washiriki kubainisha mapungufu yatakayoonekana wakati wa mafunzo kwa vitendo yatolewe ili mapungufu hayo yaweze kufanyiwa marekebisho kabla ya kuanza rasmi kwa matumizi ya mfumo huo wa 3e mwishoni mwa Juni mwaka huu.
 
Sisi tuna Muda sana twalipa hela wao wanakuwa wanakata tu na kututumia bill, hela ikiisha ndio wanatutaarifu
 
Na Yasini Silayo

TANESCO imezindua mafunzo ya mfumo mpya wa LUKU wa 3e ulioboreshwa zaidi kiutendaji kazi na kiusalaama kwa wafanyakazi wake ili kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na kuboresha uwezo wa kimfumo kukidhi mahitaji ya wateja kiutendaji kazi. Uzinduzi wa mafunzo hayo ulifanyika katika Shule ya Mafunzo ya Tanesco (TTS) iliyopo Mjini kati eneo la stesheni jijini Dar es salaam.

Akiongea katika uzinduzi wa mafunzo hayo na kuwakaribisha washiriki, Meneja Mwandamizi Tehama (ICT) Kusenha Mazengo alibainisha kuwa shirika linaboresha mfumo wake wa mita za malipo ya kabla ya matumizi (LUKU) kutoka ule wa Eclipse uliokuwa ni kwaajili ya mashirika madogo na ya kati kwenda mfumo mpya na bora zaidi wa 3e unaoendana na viwango bora vya kimataifa vya kimtandao ambao unatumiwa na mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa kiutendaji kazi na kasi kubwa ya kutunza, kupokea na kutuma taarifa mbalimbali za wateja wanaozidi kuongezeka kwa kasi kila siku.

“Tunahama kutoka mfumo wa mashirika madogo na ya kati wa eclipse, kwenda katika mfumo wa mashirika makubwa unaokidhi mahitaji ya wateja wetu kwa sasa na wenye viwango bora vya kimtandao vya kimataifa wa 3e (eclipse enterprise edition), nia ikiwa ni kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la wateja pamoja na sera ya Shirika kwa ujumla” alisema Mazengo.

Mazengo alisema kwamba, kwa kuwa mfumo huu mpya wa 3e unatumia miundombinu ya kisasa na yenye kasi kubwa zaidi, utaliwezesha Shirika kuendana na kasi ya ongezeko kubwa la mita hai za wateja zinazokadiriwa kufikia milioni 1.4 kwa sasa ikilinganishwa na idadi ya mita laki 6 zilizokwepo miaka ya nyuma. Aidha shirika litaweza kujiimarisha zaidi baada ya mfumo pacha wa mauzo ya kibiashara kwa wasambazaji wa LUKU (Retail Administration system) kukamilika.

Mazengo aliendelea kubainisha kwa ufupi baadhi ya faida za mfumo huo mpya akilinganisha na mfumo uliopo sasa kwamba, ununuzi na ukusanyaji wa madeni ya umeme utarahisishwa kuwa wa haraka zaidi ambapo wateja wataweza kulipa madeni yao moja kwa moja kwa makeshia na wahasibu kwa pamoja. Mteja ataweza pia kununua umeme papo kwa papo hata baada ya kuwa amebadilishiwa tozo (tariff) yake, kufunga mita mpya au mteja anaehama kutoka mita ya zamani kuja mita mpya ya LUKU, hii ni tofauti na awali ambapo mteja alilazimika kusubiri kwa muda mrefu wa masaa mpaka siku kadhaa.

Mazengo aliongeza kuwa, sambamba na matumizi ya mfumo huu mpya, Shirika pia litaanza kutunza taarifa zake lenyewe kwenye seva moja (single saver) ambao ni salaama na wenye kasi na uwezo mkubwa zaidi na hivyo kuachana na mfumo kuhifadhi taarifa kwenye vyanzo vingi (multiple saver) vya nje unaotumika na Shirika kwa sasa.

Aliongeza kuwa mfumo huu unategemewa kuanza kutumika rasmi mwishoni mwa mwezi Juni baada ya kukamilika kwa mafunzo kwa watumiaji wa mifumo hiyo nchi nzima. Aliomba pia kwa washiriki kubainisha mapungufu yatakayoonekana wakati wa mafunzo kwa vitendo yatolewe ili mapungufu hayo yaweze kufanyiwa marekebisho kabla ya kuanza rasmi kwa matumizi ya mfumo huo wa 3e mwishoni mwa Juni mwaka huu.

Mdau hembu tusaidiane kwa hili kuna mtu anaishi kajumba kadogo kawekewa tarifu 1halafu hana matumizi makubwa zaidi ya fridge, tv , na pasi ambapo utumiaji wake ni mdogo na umeme huwa unazimwa asubuhi unawashwa jioni lakini huwezi amini umeme wa 30, O00 hautoshi lakini kuna watu wanasema hizi luku zinatofautiana kuna nyingine huwa zinakula sana umeme yaani zina hitilafu,

Pili kwa nini waniwekee tarrif 1wakati matumizi yangu sio makubwa?
 
Af ingekuwa powa watutengenezee app ya luku kama zilivo hz za ku bet..unanunua umeme kwa kupitia internet
 
Hata wakizindua wireless electricity wakati bado hatuna uhakika wa kukaa siku nzima bila umeme kukatika ni Bure

Ccm ikifa, ife na Tanesco
 
Unasemaje kuhusu gharama za umeme? Nini maoni yako pale ambapo mfumo wa mita za post paid unalipa fedha kidogo wakati zinahitaji ufuatiliaji, msoma mita, makaratasi, nauli, muda, mpeleka bills n.k. Mshahara na gharama kibao za haki ya mfanyakazi aliyeajiriwa kwa ajili ya kusoma mita, kupeleka bills, kufuatilia madeni na kukata meter, kwenda kuunga n.k.

Lakini mtumiaji wa LUKU ambaye hahitaji kufuatiliwa, haingizi gharama Tanesco ya kuajiri mtu wa kusoma meter, kupeleka bill, kufuatilia na kukata meter, pia kurejesha, gharama na mishahara ya watu wanaofanya kazi ya kuprint bills, na stationary n.k., huyu mtu antatozwa mara 4 ya malipo ya yule asiye na LUKU. Nini maoni yako juu ya hili?

Miundo mbinu gani inayohujumiwa? Kwamba pamoja na gharama zote tunazotozwa, bado miundo mbinu ni michakavu kila wakati tia ma ji tia maji mara mgao wa kisriri siri eti TAnesco hawana uwezo wa kuhakikisha mitambo iko safi muda wote na uwezo wa kubadili iliyochakaa hawana!. Wanabaki kusema uwongo uwongo tu.

Unaelewa supply mbofu ya umeme na gharama kuwa juu zinaathiri vipi maendeleo ya uchumi wa taifa na maisha yetu kwa ujumla? Nikweli katika nchi iliyo free from UFISADI wa kina Lowasa na Richmond yao, IPTL mara Escrow, kweli gharama za umeme zisingekuwa reasonable na uzalishaji kuongezeka na kuwarahisishia maisha Wtanzania?

Ni kweli vijana wanaokosa ajira na letsay wanaiba nyaya za tanesco na mafuta ya transormer ndiyo wanaleta athari kubwa kuzidi mafisadi wa Richmond IPTL, na wengine kiasi kwamba tuwanyoshee mikono huku mafirauni tukiwapigia makofi na kukaa barabarani tukikenua meno wakati yanapita hku mioyo yetu imejaa mandonda yanayovuja damu kwa maumivu makali?

Ninashukuru ikiwa tutajadiliana kwa uuona ukweli zaidi ya ushabiki. Tanesco kama taasisi yoyote nyingine ya serikali ni kitega uchumi cha mafisadi!. PONA YETU NI OCTOBER PALE CCM WATAKAPOONDOKA TUJENGE SERIKALI ITAKAYO REFORM KILA KITU KWA TANZANIA SALAMA.

Jamani kumbukeni Tanesco si kila kitu tunawalaumu mm kwa upande wangu naona kwa sasa wanajitaidi sana kuboresha huduma zao. Hhata hili LA LUKU Pia mimi naona changamoto waliyo mayo kwa sasa ni miundo mbinu yao kuhujumiwa na wananchi wachache wasiyopenda maendelo
 
Kwaupande wangu Mimi Tanesco nawasifu sana kwani huduma yao kwasasa imeboreka tofauti na zamani tatizo letu sisi watanzania ni kulalamika tu. Basi tuwasifu hata kwa hicho kidogo wanacho kifanya. Na swala la kukatika Umeme baadhi ya maeneo hiyo ni kutokana na itilafu zinazo jitokeza kitu ambacho ni kawaida katika mitambo na ndomaana hata unapokuwa unaendesha gari katikakati ya safari linaweza kuaribika je utalaumu kiwanda kilichotengeneza au utafanya kulitengeneza ili safari iendelee? Napia tunao la umumu jiulizi umeisaidia nini Tanesco kama si kuijumu kwa kuchokonoa miter ili uweze kuiba Umeme ebu fikilia juzi nimesoma gazeti moja kunahabari ilinikitisha kama watu wanne mkoani pwani waiingizia Tanesco hasara ya bilioni 12. Sasa hao ni watu wanne tu wameweza kuingiza kiasi hicho cha hasara je ambao hawajulikani. Ebu punguzeni kulaumu pasipo sababu mm kwaupande wangu Tanesco wanajitaidi sana
 
Nionavyo.....hakuna haja ya kulipa Service charges kwa wenye Luku
Nguzo nyingi zimeoza na wananchi wanafanya marekebisho wenyewe kwa kutumia vishoka
Vishoka wanatumika katika ujanja wa luku/meter
Siku hizi wengine wala wala hawachezi na luku/meter wanatumia bracket iloyoshika service line kwenye nyumba yako kama live na earth yako na unapata umeme
Wengine wanarusha umeme bila ya kutumia wire kutoka nyumba moja hadi ingine.
 
We bakishuu.service charge ni muhimu sasa unategemea hizo nguzo au miter utarekebisha na nini. Na hao vishoka siku zote ndo wanarudisha maendeleo ya tanesco. Napia kama unapata tatizo lolote wapigie kwenye Namba ya imegencey ya kanda uliyopo na utahudumiwa mfanano mm nguzu yangu nyumbani ilikuwa imeoza nikawapigia kupitia Namba yangu ya kanda ya Kimara nakumbuka niliwapiagia ilikuwa jioni na kesho yake jioni saa kumi nikawa nimefungiwa nguzo mpya na bila garama yoyote ebu tuache fikira potofu tufate taratibu zinazotakiwa tutafuraia huduma na sikulaumu tu na ninaimani wengi wetu hatufamu hata Namba za imegencey za kanda. Tubadilike watanzania.
 
Viatu virefu.......utaratibu unatakiwa uwe hivyo lakini haufuatwi...ni majuzi tu waziri alichukuwa hatua ya kufukuza watu kazi zone ya tabata.mimi nimeripoti nguzo kuanguka na nimepiga simu mara kadha kwa emegency na matukio yote yaani mazungumzo ya kwenye simu huwa nina rekodi reference no.ya ripoti ninayo.
 
Back
Top Bottom