Naunga mkono hoja hii lowasa ana haki ya kikatiba kuhama chama zaidi ya kimoja wanaosema ana uchu wa madaraka wamechanganyikiwa sbb wanajua mwisho wao ndo huu.
hawajakosea sana wapo sawa kabisaaa!!!! Yani tafsiri yake kwa yeyote atakayempinga atatwangwa na bastora umesahau kiwira alipowatishia watu na bastora?
Huyo jamaa ni hatari sanaaa na kama ccm wanamtegemea huyo wamechochola sana.
Hahahahaaaaa Du!!! MICCM WANATAPATAPA KAMA MFA MAJI, INASIKITISHA SANA INAPOFIKIA WANAANZA KUPINGANA WAO KWA WAO LEO KATIBU MKUU ANAMPINGA MWENYEKITI WAKE, MWENYEKITI ALIJUWA MATATIZO YALIYOPO KATIKA NCHI HII NI KUTOKANA NA KATIBA NDO AKAAMUA KWA HEKIMA YAKE IUNDWE MPYA ILI KUTIBU MATATIZO HAYO...
Unajua Ndugu yangu hakuna Busara kama kuongea UKWELI!!! na ukiwa msema kweli lazima utachukiwa tu kwa sababu Lisu anagusa ajira za watu hao wanaoshinda wanawadanganya kila siku kwa ahadi bandia.
KUBARI MABADILIKO DUNIA YA LEO NA NI YA MABADILIKO NA MABADILIKO NI KUAMBIANA UKWELI.
mnatetemeka nini? Kinachonishangaza mimi ni jinsi gani ccm wanahaha kama mfa maji, nape ni msemaji wa ccm leo anakuwa msemaji wa kuwatabilia ukawa mpasuko wa ccm hajauona du!!!! Nape ccm imekalia kuti kavu.
Yani sijakuelewa kabisa, hujatoa hoja ambayo Mwakyembe amemshushua Lisu naona ni lawama zolizojaa hofu tu, TUNDU LISU MMOJA NI SAWA NA JESHI LA WATU 1,000,000/= LAZIMA UKUBALI NA KAMA KAKOSEA MPELEKENI MAHAKAMANI SIO MNAPIGE KELELE WEEE.
MALA NYINGI UKWELI UNAUMA SANA NA LAZIMA UKWELI USEMWE...
Du!!! nakumbuka maneno ya Yesu aliposema na wanafunzi wake kuwa " wataona na kusikia lakini hawataelewa chochote ndo sawa na wewe.
Zanzibar wana bendera na wimbo wa taifa sasa nakuuliza swali Zanzibar sio taifa huru? utambulisho wa utaifa ni Bendera na wimbo wa taifa.
acha ubishi wa...
Tahadhari Kwa Watanzania kama tunadai serikali tatu tudai tu, lakini tusithubutu kujadili swala la ukabila kamwe hatutafika.
Nakuunga mkono sana kuwa tuendelee kujitambua kuwa sisi ni WA TZ.
Tanzania ni nchi ya demokrasia sasa unaposema vyama vingine wasisimamishe mgombea Kalenga unakosea sana.
Na unapoipoint Chadema wakati kuna vyama vingi ni wazi kabisa unahofu sbb kama unaliamini unaloliongea usingewaomba Chedema.
Kumbuka wananchi wanataka mabadiliko na waache waamue wao nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.