Recent content by Richard H. George

  1. Richard H. George

    Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

    Ndiyo maana! Sasa nimeelewa kuwa ni kwa nn watu wamegeuka wapinzani ghafla, kumbe wametemeshwa utamu, lo!
  2. Richard H. George

    Wananchi wa Karatu wamjia juu Slaa, Wasema hata iweje CCM lazima ing'oke!

    Hebu tuambie ukweli aliousema, labda mimi nilipitiwa na usingizi.
  3. Richard H. George

    Updates: Mikutano ya Lowassa mkoa wa Dar Es Salaam - Tarehe 7 Septemba, 2015

    Naomba kujibiwa, inakuwaje Lowasa kila akichafuliwa sana ndipo watu wanampenda zaidi? Hebu mnijibu!
  4. Richard H. George

    Hivi kwanini mikutano mingi ya CCM hujazwa na wale waliovaa säre?

    Ndugu nikijuacho mimi ktk mikutano hii ya kampeni, haihudhuriwi na wanachama bali na Watanzania wote. Haipendezi hata kidogo kukubaliana na maneno yako kwa vile kila chama kinatangaza Sera zake kwa Watanzania na si kwa wanachama wao kwa vile wanaochagua ni watz na ni si wanachama tu...
  5. Richard H. George

    Hivi kwanini mikutano mingi ya CCM hujazwa na wale waliovaa säre?

    Kwa hiyo itapigiwa kura na wanachama wake na wale tusio na vyama haturuhusiwi kuwasikiliza wala kuwapigia kura? Hebu itafakari tena kauli yako hiyo na usiongee kishabiki.
  6. Richard H. George

    Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Akiwa rais lini na kwa namna gani? Hata baada ya huyu ajaye tunamngojea apatikane Oct 25, hatutamhitaji tena yeye kwa vile naye vilevile ana uroho tu wa madaraka.
  7. Richard H. George

    Magufuli ni bora kuliko wagombea wote wa urais

    Ni mtazamo tu, kwani siku zote ugumu na urahisi wa jambo hutokana na mtazamo wa mtu.
  8. Richard H. George

    Lowasa akiwa kwa mganga wa kienyeji

    Hebu tujiulize jamani, kuna mtu anayekwenda kwa mganga akaongozana na umati kama huo au kuna jambo jingine hapo? Hebu tuwe wakweli. Nijuavyo mimi, mambo yote ya mfumo wa giza, hufanyika gizani (sirini). Sasa iweje kwa hili? Naombeni majibu ya kina na tuache ushabiki maana hata Chenge alipoamua...
  9. Richard H. George

    Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Ninapenda kuuliza, tunaijua siri iliyompa Dr. Slaa na chadema kwa ujumla ktk uchaguzi wa mwaka 2010 na hiyo leo Dr. Slaa kujiona bora kuliko yeyote ndani ya chadema na hivyo kuwadharau wengine wote ila yeye tu? Anayefahamu vizuri aeleze ili tusiendelee kudanganyika.
  10. Richard H. George

    Dr Slaa badili Gia. Ngonjera za Richmond zimekwama Babu

    Anayefahamu kwa kina kile kilichomfanya Dr. Slaa kupata umaarufu mwaka 2010 na kwa hicho kumfanya ajione bora kuliko yeyote ndani ya chadema na hata kudiriki leo kuanza kudharau ovyo wengine, atueleze. Halafu baadaye nikitoka kanisani, nitaeleza vizuri maana ametuchosha. Sina ushabiki wa vyama...
  11. Richard H. George

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Nape alitamba kwamba Sumaye haiwezi kuhama na kwamba wanaotangaza hayo ni sawa na oil chafu ambayo inatoa moshi, sasa leo amehama, au na Sumaye amebadilika akawa oil chafu au yeye Nape ndo oil chafu? Hebu nisaidieni kwa hilo.
  12. Richard H. George

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Mbona jimbo la Busega mkoani Simiyu, sioni mgombea wake?
  13. Richard H. George

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Unakutana na binti tena mtoto wako cha ajabu ana mimba wakati hajaolewa bado, unamuuliza mimba hiyo ya nani?....... Jibu, ni ya kwangu. Nani kakupa? ...... Mwanamume!
Back
Top Bottom