Recent content by Richard Emanuel

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 zitakazosababisha UKAWA kushindwa kupata mgombea Urais anayekubalika

    Mimi kama mwana chadema mzri na mwanachama hai ninaamini ktk ukawa wakimleta lipumba saw a wakimleta slaa saw a mi can wasiwasi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya mtuhumiwa mkuu wa kesi ya mabomu Arusha inatia utata sana

    Kilicho fanyika ni uhuni tu kwani mshtakiwa alikuwa na maelezo ya kujibu ilikuajepaka auawe? Anngeeleza nani kamtuma kulipua hayo mabomu kwani hawezi kufanya peke take yupo mtu anamffathili bola shaka alipaswa kujibu maakamani hayo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, CCM wakunjana ziara ya Makalla na John Mnyika

    kwa sasa maccm hawataki maendeleo wamebaki kujenga chama arumeru mashariki huku arusha Nasari Alitoa madawati kwaajili ya kuboresha elimu madiwani wa ccm wanakataa eti wataharibiwa kukosa kura 2015,kiikweli kwasasa maendeleo kwasa wanajenga chama chao tu chakifisadi,
  4. R

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa shughuli za maendeleo kata ya Levolosi 2010-2014

    Ongera kamanda we ni jembe tutakuchagua kipindi kijacho wewe ndio mtetezi wa wanyonge hapa levolosi kamanda hatutajuta kukuchagua big up kamanda
  5. R

    JamiiForums Tanzania Arusha wamenufaika na lipi tokea wamchague Lema kuwa mbunge?

    Dr lema amefanya yafuatayo;1.barabara zote zilizotengenezwa arusha mjini ni lema,kapambana mpaka hili likatekelezwa moja ya kazi ya mpinzani.2.huduma za afya,zahanati ya levolosi vitanda mia moja,daraja mbili zahanati imefikia kupauliwa na maji ni walawala, shule zote za msingi na za sekondari...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msingwa aibua ufisadi maliasili

    ni hatari ukiona mtu anatetea wawindaji haramu wa wanyama wetu, hawa wote ni majangili mwindaji na anaye mtetea mwenyewe wote hao tunawaita majangili sababu jangili lazima amtetee jangili mwenzake.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Channel ten: Kipindi cha 'Je, tutafika' Makwaia unaboa!

    Ni kweli kabisa mzee yule hakupaswa kuonyesha yeye ni chama gani alipaswa kutangaza na kusimamia hoja ilioko mezani kama mtangazaji aliebobea.
Back
Top Bottom