Channel ten: Kipindi cha 'Je, tutafika' Makwaia unaboa!

Ni kipindi kizuri ila mtangazaji anakiendesha ktk misingi ya propaganda za CCM.
Mkuu, huyo mtangazaji. Anapalilia udc maana wameona kina kipozi, makunga, b mkwasa wanavyokula bata sasa na huyo is following suit.
 
mi mpaka nilikua nakosana na wa2 kwa ajiri ya kumwangali makwahia kuhanga lakini nikuja shangaa siku hizi kanunuliwa ili kuusambaratisha upinzani sina hamu tena na kipindi chake sasa nimebaki itv mgongano wa hoja na kipima joto
 
Mtayarishaji na mwendeshaji
wa hicho kipindi, pamoja na kuwa Mwandishi mkongwe wa Habari yuko
biased sana hata amekiharibu. Haishangazi kuwa kipindi chake kinakosa
wadhamini.

kama hakina wadhamini mbona kinarushwa hewani?
 
Hicho kipindi ni mahususi kwa ajili ya kumtetea na kumpamba jk na ccm yake?. Vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na watawala kwa mlango wa uwani!
 
mi mpaka nilikua nakosana na wa2 kwa ajiri ya kumwangali makwahia kuhanga lakini nikuja shangaa siku hizi kanunuliwa ili kuusambaratisha upinzani sina hamu tena na kipindi chake sasa nimebaki itv mgongano wa hoja na kipima joto

Na hapo ITV utahama muda si mrefu
 
Ni kweli kabisa mzee yule hakupaswa kuonyesha yeye ni chama gani alipaswa kutangaza na kusimamia hoja ilioko mezani kama mtangazaji aliebobea.
 
Hivi Mzee Makwaiya na yeye ni mwandishi wa Jabari/mtangazaji kitaaluma?
 
mzee makwaia inabidi ajirekebishe kwani anaboa sana kuna siku nilikuwa nafutalia wale mabalozi wa congo, na zambia walipokuwa wanafanyiwa interview naye aliniboa sana yani balozi anaongea naye anamkatisha hapohapo ikabidi nihamie channel nyingine aliniboa sana
 
Back
Top Bottom