Recent content by Richard creed

  1. Richard creed

    NEC: Kama CHADEMA hawakumuandikia Spika barua hakukuwa na tatizo

    Chadema kupitia katibu mkuu john mnyika walisema wamemtaarifu spika kwa barua juu kutokumzamini mwambe
  2. Richard creed

    GE2020 Usijidanganye kutoa rushwa, unapotea na unapoteza pesa yako

    Utaratibu huu uwa unafanyika pia kwenye kugombea term ya pili ya rais alieopo madaraka?
  3. Richard creed

    Tumejipanga, mwaka huu wataikoma | CCM mbele kwa mbele

    Kukiwa na tume huru sizani kama chama na mgombea wetu pendwa tunaweza rudi madarakani
  4. Richard creed

    Ni kwanini deni la Taifa linaongezeka badala ya kupungua wakati serikali inalipa kila mwezi?

    Ukweli ni kuwa miradi mingi inaendeshwa kwa pesa za mikopo tofauti na maneno ya majukwaani
  5. Richard creed

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tumeamua kuacha Muda uwe hakimu.. Miaka 5 serikali ya viwanda imebaki kuwa kauli ya kwenye majukwaa
  6. Richard creed

    Kutegemea Mabadiliko Kupitia CCM, Ni Sawa na kutegemea Kukamua Kuku Maziwa

    Kaka umeongea maneno mazur ila ni siasa,ayo maneno ukimwambia mwananchi wa kawaida ayana tija kwake..
  7. Richard creed

    Kigwangalla usipotoshe kuhusu Katibu Mkuu Dkt. Mashinji

    Tanzania hii kila kitu tunataka kukiendesha kisiasa
  8. Richard creed

    Ali Kiba Rosa

    iyo nyimbo cyo ya Ali kiba
  9. Richard creed

    Yanga ndiye bingwa mpya wa Tanzania msimu wa 2012-2013!!!

    tunaxubiri tarehe 18 ndo tutangaze vizur
  10. Richard creed

    yanga badilisheni jezi....

    Utakuwa chiz wwe,chama chako na yanga wap na wap..we bak huko huko atutak maxhabk waco jielewa
  11. Richard creed

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Unayo sema kweli ila umesahau,mitandao yote ya kijamii kama fb,twitter,bbm yote ni yakwao.mpango wao ni kufanya dunia kuwa kijj,ili baadae kuwe na rais mmoja ambaye ni lucifer,ndo maana wameleta sim,iyo mitandao ya kijamii wana tumia madhehebu ya dini,kwa kifupi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Back
Top Bottom