Nyerere alifanya kazi nzuri kwa uwezo wake.Na anapaswa kupewa maua yake.Kanisa linampa maua yake kwa kumtangaza mwenye heri,Kisha Mtakatifu,bila kujali mapungufu yake kama mtu.Mungu pekee ndio mkamilifu.
Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ilikuwa ndio kazi yake.Hakumzuii kuwa Mkatoliki.Na Utakatifu ataupata kutokana na utendaji wake wa kazi.Na wala hautashirikishwa kwenye huo mchakato.Kwani kwa umri ulionao ulishawahi kusikia Mtakatifu au Utakatifu Nje ya Ukatoliki?
Maishani unatakiwa uwe na kipaumbele,na Kila mtu ana kipaumbele chake.Kuoa au kuolewa sio jambo la msingi kwa yoyote mwenye akili.Asilimia kubwa ya wagunduzi/wanasayansi wakubwa,vipaumbele vyao havikuwa kuoa.
Usipende kuziishi tetesi.Hata mie nilisikia kuwa hii KATIBA tuliirithi kutoka kwa mkoloni,Kisha ikafanyiwa marekebisho kidogo.Sina hakika na wala sifuatilii hiyo tetesi.Swala la kuua nalo ni tetesi.Lakini kama ni kweli,aliua kwa mujibu wa katiba (Sheria),hana kosa binafsi.Utakatifu wa mtu...
Sasa kama ni kikundi na kinajijua kuwa hakina uwezo wa kushindana kivita,mbona wanarusha makombora Israel na kujisifu? Yaani akipigwa ni kikundi.Akipiga ni jeshi imara.Akili nyingine sijui zikaaga wapi.
YESU anawaambia wale wote ambao hawatazishika na kuziishi Zile Amri kumi.Pamoja na hayo,unapaswa kuzingatia maagizo ya hotuba ya mlimani.Heri yake atakaye fanikiwa kuziishi Zile HERI.
Wachaga wenzangu wanamwita MUNGU ni(RUWA MANGI) Kwa maana ya MUNGU MKUU.Na Kila Kabila,Lugha,Mahalia; huwa Wana mwita MUNGU kwa majina ya kwao.Kwa mfano,YEHOVA ni MUNGU kwa lugha ya Kiebrania.Na sio Kila anayeitwa mungu ni MUNGU yeye.Ndio maana MUNGU alimwambia Nabii Musa kwamba wasimuabudu...
Ndugu unapoomba ushauri usiweke masharti ya kutotaka umri wako ujulikane.Tutajuaje kama wewe Bado upo chini ya uangalizi wa mama? Yote sawa tu.Ila waheshimu Baba na Mama,ili upate kuishi miaka mingi yenye heri hapa duniani.
Kuna vitu havionekani kwa macho ya nyama, ndio vya kiimani.Ukimchinja kuku wakati anakufa unaona.Lakini roho inapotoka huioni.Lakini unaamini roho imemtoka kiumbe hata kama hujaona kwa macho ya nyama.Ndio maana wamekuambia sayansi inahangaika kujua mambo ya kiroho(Imani) lakini mambo ya kiroho...
Tafuta mtaalam wa kisheria akusaidie, maana huo nao ni aina ya utapeli,kama mkataba hausemi utalipia deni lake.Lakini lawama nawapelekea TRA kwa sababu deni la mdaiwa wa malipo yoyote ya TRA yanapaswa kubaki kwenye TIN ya mhusika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.