Wasalaam waungwana.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya
Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD
Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK
Nipo Dar es Saalam.
Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua.
Natanguliza shukrani
Kwa kawaida goli moja huwa natumia 15-20 minutes.Then Hata nikimaliza kusex saa kumi jioni..mida ya night nashikwa na ugumu kama sijasex kwa Muda mrefu!!Ni ngumu kuniamini lakini ni kitu cha ukweli.Wanawake wengi ninaokutana nao kimwili huhisi kuwa nawakomoa but in reality huwa ni kawaida...
Mimi ni kijana wa kiume ninaishi Arusha.Kiukweli nimekuwa naboreka sana na kitendo cha kutoridhika na kutosheka kimapenzi.Kwa kawaida ninapokuwa faragha na mpenzi wangu huwa namchapa magoli sita mpaka nane lakini kila tukimaliza huwa bado najisikia kuendelea na tendo tena.
Mara kadhaa nimekuwa...
Wadau wote wenye uelewa kuhusu Nobel professional ya law tunaomba kupata dondoo zote muhimu kuhusu changamoto,mbinu na namna ya kuweza kufaulu faculty hii ngumu ya law.
Natanguliza shukrani zangu za dhati nikisubiri miongozo yenu wadau..
ILIANZA KAMA NDOTO KUWA SIKU MOJA NTAPANDA MLIMANI KUSOMA LAW,NAOMBA WADAU WOTE WENYE UZOEFU NA LAW WATUPE MUONGOZO WADOGO ZAO JUU YA PROFESSIONAL HII,MUHIMU KATIKA JAMII YOYOTE ILE DUNIANI!!
Changamoto
Mambo muhimu ya kuzingatia, na mengineyo.....karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.