Kogan unatumia MasterCard policy ya kuwarefund ipo karibu. Kila kampuni kubwa cha muhimu kuhakikisha ni website yao niliagiza Google Nexus kwa Au$389 wakati dukani ni dola Aus $697
EBay,Amazon ni reliable Sana Na kogan Mimi kitu cha dola 700 Na nunua dola 300 ni mzoefu ingawa sababu Niko Australia watu waoga pia ni associate marketer wa Amazon
Wadau msaada wa kuinstall flash adobe player katika samsung tab galaxy tab 10.1inagoma inasema haisupport i wonder na mimi nafanya online courses na inahitaji mozilla firefox je nifanyeje wataalamu wa it
Masayi77 nashukuru ukituma hiyo inasema hisupport ila kuna option ukiingia katika Settings-connections-gprs-proxy sasa hapo zinachanganya kwani kuna description kwenye gprs ambayo unaweka internet -wap netwek au the internet ,na kwenye proxy naweka nn maana kuna baadhi yaapplications inagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.