Recent content by reymaige

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Exhibitionism: Magonjwa ya akili ya ngono yanayosumbua Watanzania wengi

    Mmmh!! Majanga
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kinehe a bhanu mulimo umu?

    Abhasukuma tuli ng'wi gulwa noi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kinehe a bhanu mulimo umu?

    Nakatogwa noyi akatopi kenaka kakisukuma, gashi nise tulibhinge. Tubheje kakikundi ka bha sukuma du. Ng'wabheja sana bhana jf.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Kamnyonge, likumalangu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme wa mtu.

    Tatizo sio, tatizo ni matumizi tu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme wa mtu.

    Niko serious sana coz nina stress mno. Niko mwanza
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme wa mtu.

    Mi ni mke wa mtu natafuta mme wa mtu wa kunipunguzia stress na kunipa ushaur
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali nzuri ya masuala ya uzazi

    Kama uko kanda ya ziwa nenda mwanza ulizia hospital ya dr. Kilonzo iko mtaa wa rufiji baada tu ya kuvuka mlango mmoja. Pole kaka.
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anagawa ovyo...jamaa kaamua

    Kama hamshei lov na mkeo kwa mda mrefu bora kuachana coz lazma kat yenu kuna mtu atakuwa anachit. Huyo jamaa labda kalambishwa shuntama au nae anagawa ovyo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    Ga muwelelo minge no, akusobhola sebha.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    Mmh!! Mada nzur. Na ss mabint wa kisukuma tupo, but wengi wetu we dis like wanaume wa kisukuma coz we know, wao wakipata vimada wa kiswahil lazma ahame mji ndo kawaida yao na huko hugeuzwa ndondocha na hawawez kusema. Mapenz hayana kabila. Mfano, mi nina mrangi ana wivu sana but he hav a realy...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

    Mmmmh!! In ma addition ni kwamba, hata kama chanzo cha mwanamme kutoka nje ni mke, bado lawama zipo kwa mwanaume tu. Miss understanding hutokea ndan ya nyumba hatukatai, mwenye high power ya kucontrol hiyo hali ni mwanaume kwann achukulie huo ndo udhaifu wa mkewe na kuamua kutoka nje ya ndoa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada doctors tafadhali

    Mmmmh!! Pole
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mchango kwa wanawake

    Pia ongea na watu wazima wengi wanajua dawa za michango. Huwa wanatibu kulingana na aina ya mchango. Poleni
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kupenda kazi bwana usithubutu kukutwa

    Umeona eee!! We murugalama kuwa makini inawezekana ma mdogo kuna ka jamaa kanamrubuni, ndo chanzo cha kibur hicho. Au ulimtake over jamaa wa kule mkuyin?? Sasa kaja kasi, angalia usijeletewa posa kwa mkeo sijui itakuwaje Itajulikana tu.
Back
Top Bottom