Recent content by Reward silayo

  1. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Wazo zuri la biashara Arusha

    Afunguke sasa.
  2. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Wazo zuri la biashara Arusha

    Poa
  3. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Wazo zuri la biashara Arusha

    Kidogo inanipa changamoto kweli especially kwenye maswala ya kiimani kuuza Tungi inanipa shida.
  4. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Wazo zuri la biashara Arusha

    Wanajukwaa kwanza habari za muda huu. Aisee wazo la biashara kwangu limekua kizungumkuti nimewaza beyond the limit yaani hebu mwenye anaweza nipa wazo zuri la biashara maeneo ya Arusha ambayo mtaji wake sio zaidi ya 3.5M naomba anisaidie.
  5. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Tuongee asubuhi na Albert Msando! Mada: Hama hama ndani ya vyama vya Siasa. Je, ni kukua kwa demokrasia au ni rushwa?

    Wakuu hivi kwann swala la watu kuhama vyama limeshamiri sana mwaka huu wa pili wa mukulu Nini uhai na hatma ya upinzanii? ?
  6. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

    uongo hakuna kitu kama hiyo
  7. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    hilo ni kwel kabxa
  8. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

    Hapo sawa
  9. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Huo ni udhalilishaji wa kijinsia asante ACT kwa kuliona
  10. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Mondi ana shida zake
  11. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    WaxAwawsfAdx
  12. Reward silayo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi liache ubaguzi

    Aliyetoa kauli ya uongo dhidi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) naye anapaswa kuchukuliwa hatua na Jeshi la Polisi kama linavyofanya kwa vijana wengine wanaotoa kauli mbalimbali za uchochezi uongo au za kufedhehesha. Sasa Jeshi la Polisi lazima lichukue hatua...
Back
Top Bottom