Jeshi la polisi liache ubaguzi

Reward silayo

Member
Jun 25, 2016
38
10
Aliyetoa kauli ya uongo dhidi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) naye anapaswa kuchukuliwa hatua na Jeshi la Polisi kama linavyofanya kwa vijana wengine wanaotoa kauli mbalimbali za uchochezi uongo au za kufedhehesha.

Sasa Jeshi la Polisi lazima lichukue hatua kwao kwasababu sheria ni msumeno na haichagui pa kukata. Chonde chonde tusibaguane, hatua zichukuliwe kwa lengo la kuilinda demokrasia yetu
 
Mkuu nchi hii tayari inatawaliwa ki imla. Hakuna dola kuna CCM hao dola ni matawi ya CCM
 
Back
Top Bottom