Recent content by review

  1. R

    Naapa kupokea Rushwa kila nikipata nafasi-Hakimu Mkazi

    Najitokeza jamvini nikiwa nina machache tu:-) Nimejaribu kufanya tathmini jinsi serikali yetu ilivyo makini katika kupanga mishahara ya watumishi wake, na nimegundua kuwa; 1. Watumishi hawalipwi kulingana na elimu zao, mfano ilitegemewa kuwa wachumi wote au wanasheria wote wanaofanya kazi...
  2. R

    Toothless TAKUKURU?

    Mkuu labda nikupe shule ktk hill, takukuru kazi zake ni kupambana NA mahakimu (wanaolpwa vibaya NA sio majaji wanaolpwa vizuri) matrafiki wanaolipwa la I mbili NA jua lote Lao, NA madaktari wanafanyia kwenye mazingira magumu a hatarishi kwa afya zao,NA watendaji WA mitaa NA vijiji,,,,,,,zaidi ya...
  3. R

    Waziri wa katiba na sheria asema uongo

    Mhe ANGELLA Kairuki ( naibu waziri katiba na sheria) wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk ishu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO WAKO KATIKA MAFUNZO YA KUANDIKA HUKUMU" Tanzania Daima la tarehe 29/11/2012 HIVI KWELI WATU WENYE...
  4. R

    Madudu Mengine ya MAHAKAMA YA TANZANIA

    Katika hali ya muendelezo wa madudu katika mahakama yetu ya Tanzania, mwezi June mahakama iliajiri Mahakimu wakazi wapya 300 wenye degree za sheria(LL.B) na kupitia lawschool ili wakafanye kazi katika mahakama za mwanzo(kata). jambo la kushangaza ni kuwa sheria inayoongoza mahakama za chini The...
Back
Top Bottom