Recent content by Revelation

  1. Revelation

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hivi wewe unavuta matawi gani?🤣[emoji23]🤣
  2. Revelation

    Malizia methali ifuatayo:

    Kasha jazwa
  3. Revelation

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Maboga mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Revelation

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Alikua anataka akijamba isijulikane . Wanaume hatupendi aibu ndogondogo.
  5. Revelation

    Ujinga ni pale unapo...........

    Ujinga ni pale unapomwambia konda shusha hapo, na umekaa mbele kwenye daladala na dereva. Tuwache ujinga.
  6. Revelation

    Hivi kuna mtu mwenye picha yoyote ya Wahenga?

    Walikuweko kile kipindi kamera ilikua haijavumbuliwa.
  7. Revelation

    Je, limbwata nayo ni moja ya madawa ya kulevya?

    Hata mdogo wangu kaniambia Equator ni kimstari cha kufikirika tu ila hakipo.!
  8. Revelation

    We msichana utamjibu nn huyu mwanaume

    Kama ni mm namuweka kibao cha uso afu nitimue mbio huyooooo
  9. Revelation

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Kalewa na uongozi huyu ndugu yetu RC kasahau ya kwamba kuna cku atayaacha hayo madaraka. Usinyanyase wengine kwa kua cheo chako kinakuruhusu fuata sheria bwana.
  10. Revelation

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Pap. Mswaada tayari umesainiwa.
  11. Revelation

    Wadada/wamama, tumieni hii njia mbadala kuanika nguo za ndani...

    Mkuu kama ukiona chupi unasismka basi ugonjwa unao!. Mbona zinauzwa hadharani. Mbona sokoni zimeanikwa?. Change ua attitude bro.
  12. Revelation

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Ni hapa Tz tu kigogo anaweza baka na aende free ni kana kwamba hao wako juu ya sheria.
  13. Revelation

    Dating Siku Hizi Nayo Majangaa!!!!!! Wadada Is This A Deal Breaker Kwenye New Relationship!

    Mdada kasahau shamba likilimwa sana hukosa rutuba sasa analaumu jembe,khaa.! Shamba limekuwa kama machimboni jembe la kawaida haliwezi. Katafute dynomite itaweza hayo machimbo.
  14. Revelation

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    Kama unampenda ungemwambia akupeleke umone mama kama kweli anaumwa ungemsaidia na kama ni usanii angejua we ni msanii kumliko!.
Back
Top Bottom