Recent content by Reveland patterson

  1. R

    Hivi mtu anawezaje kuzama chumvini?

    Wadau shalom Wife wangu pamoja na mdogo wake wameanzisha tabia ya kupenda kufanyiwa jambo hilo ambalo zamani hatukua tunafanya, mm nalifanya tu kwa kulazimishwa Hata huyu shemeji yangu siku za nyuma alikua anachukia jambo hilo kuwa halikubaliki mbele za mungu lakini sasa hivi amekua Mlevi...
  2. R

    Mke kawa mtaalam kitandani ghafla, ina maana gani?

    Wapendwa shalom, Napenda kuwauliza kuwa kama siku zote wakati wa unyumba mke hakua akijua kukata mauno, kama tunafanya anakua amelala tu haangaiki, sasa ghafla anaanza kuonyesha ujuzi, kuna usalama hapo kweli? Mfano haya mambo ya kunyonya nyeti, anabinuka ktk namna ambayo unashindwa hata...
  3. R

    Mrejesho: Alinipa penzi nimwingize kazini, sasa ananitishia

    Watu wa Mungu nawasalim, Kama mtamkumbuka nilishawahi leta habari ya Alinipa penzi ili nimuingize kazini, imebuma, anatishia kuja kazini kuharibu yule mpendwa mwenzangu, binti, ambae alinipa pesa tshs laki mbili ili nikampe HR wetu haweze kumpa kazi.Baadae akanilaghai na kunirubuni na...
  4. R

    Alinipa penzi ili nimuingize kazini, imebuma, anatishia kuja kazini kuharibu

    Nawasalim wote katika bwana Wapendwa, yupo msichana mmoja, alimaliza chuo mwaka jana, anakaa mtaa wa nyuma yetu, anatufaham sana mm na mke wangu, lakini zaidi ya yote tunaabudu pamoja, yaani kanisa moja, nilipoanza kuabudu hapo, yy tayari alikua mwenyeji Wa kanisa hilo na familia yake kwa muda...
  5. R

    Mrejesho: Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Wakuu amani iwe kwenu, Kwa muktasari tu ni kwamba mimi na mke wangu tulikua na ugomvi kufikia hatua ya kutengana kwa karibu 2 month, hii ilitokana na wife kutojali familia na kushinda kanisani 24/7 ukatokea ugomvi mkubwa na hatimae tukatengana. Mrejesho wenyewe: Baada ya miezi miwili wife...
  6. R

    Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Miezi miwili iliyopita nilipelekwa polisi na wazazi wa mke wangu, kwa kosa la kumpiga binti yao karibu nimuue, ndugu walikuja kunitoa Iko hivi; Huyu binti nilimuoa miaka miwili iliyopita na tuna mtoto mmoja, yeye na wazazi wake wote wameokoka, Hivi sasa naweza kusema kwamba mke wangu ameolewa...
  7. R

    Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Mkuu huyu jamaa alikua anajilipia kodi mwenyewe anaendesha maisha yake mwenyewe, kwa hiyo anaijua budget yake mwenyewe, na hajafikia hatua Ya kutaka kuoa ila mwanamke ndie alietaka waishi na huyu bwana kwa gharama zake
  8. R

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Ni viongozi Wa chadema au mashabiki Wa chadema ndio wanamlaumu Josephine? Sijaelewa
  9. R

    Sitasoma tena gazeti la Mawio

    Mawio huwa linaegemea upande mmoja
Back
Top Bottom