Recent content by reuse02

  1. reuse02

    Natafuta rafiki wa kike kubadilishana mawazo

    Mkuu aiseee soma vizuri basi nimesema rafiki tu sina shida na mchumba wa girlfrnd...., mchumba ninae ntakosaje mwanamke kote nilipopita haiwezekani, so ni marafiki tu natafuta
  2. reuse02

    Natafuta rafiki wa kike kubadilishana mawazo

    Natafuta rafiki, awe msomi degree na kuendelea, rangi yoyote na umbo lolote kabila lolote miaka yoyote, Sihitaji mchumba wala girlfriend narudia tena ni rafiki tu wa kubadilishana mawazo na kufamiana Umri wangu 27 naish dar,msomi wa masters degree najishughulisha na mambo yangu,, hivyo vigezo...
  3. reuse02

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Acha kuota ndoto za mchana, ndoto za abunuasi, nakushauri ujioe mwenyewe.... alafu mwanamke hachagui mwanaume ila anachaguliwa na mwanaume, hao uliwakataa wakuoe huko mtaani kwenu Utakuja kujuta majuto ni mjukuu
  4. reuse02

    Natafuta male friend

    Mwacheni latoya, ana akili sana urafiki husaidia sana maishani, kuna baadhi ya vitu mtakuwa mnasaidiana kuachia mbali ngono, mambo ya kijamii ushauri na mawazo chanya, nilikuwa natafuta rafiki kama latoya,
  5. reuse02

    Nakunywa bia kisiri siri safarini, nifanyeje ili mke wangu anikubalie kunywa kwa uhuru?

    Mkuu huyo mwanamke ukimwendekeza mwishoe atakupanda kichwani, nazani unazijua familia za namna hiyoo ambazo mwanamke ndo mwenye sauti na wewe anakudidimiza, either kwa uchawi ama namna yoyote ile, ishi nae kwa akili wew ndie ulie muoa wewe ndo Raisi wa nyumba unayo final say amau utakale yeye...
  6. reuse02

    Nakunywa bia kisiri siri safarini, nifanyeje ili mke wangu anikubalie kunywa kwa uhuru?

    Hahahahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wew si ndo umeoa au? Sikuelewii mwambie akikataa usinywee arudi kwao Unamuachaa, wanaogopa aibu ya kuachikaa hao, hivyoo atakuacha tu unywe
  7. reuse02

    Yamenikuta chumbani kwa Kimchepuko changu...

    Huyu jamaa kanichekeshaa mno nikisoma hii post najikutaa nachekaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. reuse02

    Yamenikuta chumbani kwa Kimchepuko changu...

    Bro wewe ni kichekeshoo toshaa....... ntakuwa nasoma topic zakoo hahahahahahaahaa eti ume kasave ZIMAMOTO...... JF mtaniua kwa vichekeshoo hahahahh
  9. reuse02

    INTERESTS IN LAND BY WAY OF MORTGAGES

    MORTGAGES IN LAND LAW IN TANZANIA A mortgage may be referred as a security interest in real property held by a lender as a security for a debt, usually a loan of money. A mortgage in itself is not a debt; it is the lender’s security for a debt. It is a transfer of an interest in land (or the...
  10. reuse02

    Sheikh Sharifu Mikidadi alikosa kosa kumchoma mtu kisu utotoni Mimi Deo Kisandu nikampanchi

    Hahahahahaaa mkuu uneniachaa hoi sana, eti dish la kisandu lipo tengee, lakini tujiuulize nini maana ya kumpanchi? Au kisandu ana maana yake nyingine
  11. reuse02

    Ijue Sheria ya Ardhi ya Tanzania ya mwaka 1999

    Kazi kubwa ya sheria zote zinazoshughulika na masuala ya ardhi ni kuratibu na kutoa mwongozo katika miamala mbalimbali ya masuala ya ardhi katika maisha ya kila siku. Miamala hiyo ni kama uuzaji na ununuzi wa ardhi, masuala ya mikopo na rehani, upangaji na...
  12. reuse02

    Natafuta rafiki Mzuri wa kike miaka 20 hadi 25

    Natafuta rafiki ambaye tutafahamiana na mungu akijalia awe mchumba Kama tutaendana Awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu wa Kabila lolote Awe mzuri wa roho na mwili yaan rangi ya maji ya kunde au mweupe watapewa kipaumbele Awe Amesoma angalau awe Ana degree, au diploma, au elimu ya form six...
  13. reuse02

    Natafuta rafiki wa kike Maurice wa Roho na mwili Miaka kuanzia 21 hadi 25

    Habari wanna jf natafuta marafiki wa kike wanaojielewa na kujitambua anayefikiria future anayempenda Mungu
Back
Top Bottom