Recent content by Return2roots

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waliompiga na kumtusi Juliana Shonza wauvaa mkenge mzito!

    Sheria ni msumeno....
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azitaka NGO’s kufungua shule za wenye mimba kama zinawapenda

    Elewa mantiki ya bandiko...kwamba alishapita kupoteza mda wake ktk Jambo Hilo...utaratibu ulishawekwa...hawakuruhusiwa kurejea shuleni, lkn hawakuzuiwa kujielimisha pia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azitaka NGO’s kufungua shule za wenye mimba kama zinawapenda

    Yeye tena hata muda wa kupoteza kuzungumzia Hilo hakuwa nao..."ukijaa" rudi nyumbani...ilikuwa hivyo!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

    Nadhani, sahihi ni waziri Mkuu aliejiuzulu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Si bora serikali inayoongozwa na fisadi lakini wananchi wana furaha?

    Mpuuzi wa maisha huyu jamaa..!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Nyumba ya masaki, ikikodishwa na Serikali ya Afrika Kusini, kwa ajali ya kuhudumu kama ubalozi wa A. Kusini? ....chori tu huyu!
  7. R

    JamiiForums Tanzania RC Kilimanjaro: Tumevunja shamba la Mbowe kulinda mazingira

    Sheria ni msumeno! ...hakika,alisema kweli Shaaban Roberts.... "Umbwa was msasi mkali, no wakali kama msasi mwenyewe"
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi akipewa zawadi ya mche wa dhahabu na mgodi ni sawa?

    Mkuu...fitna hiyo, vinginevyo, labda kama hukujua wakati ule, kuwa zawadi wanazopewa viongozi kwa nafasi zao, zinakuwa mali ya taifa
  9. R

    JamiiForums Tanzania RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Kuna "kiumbe cha kisiasa" kishatanua midomò yake, kikijiliwaza, ktk imani wataingia kujazilia tumbo....
  10. R

    JamiiForums Tanzania Please Lowassa, watu wa Bukoba wanasubiri chakula ulichoahidi wakati wa ukame na sasa ni mafuriko

    Kamanda sasa unataka niondolea faraja ya mabandiko yako... Still dancing with yesterday political ghost? mwache ajiozee, nzi na wala mizoga mingine ndo astahiki yake
  11. R

    JamiiForums Tanzania KITILA: Bajeti ya Maji Inatosha

    Jifunze historia za kina Jenerali Ulimwengu, marehem Tuntemeke Sanga, Steven Nandonde, Mama Mosi Tambwe, kutaja wachache.... Vipi Deo filikunjombe(rip)?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wazazi wa watoto hawa watatu wanaopelekwa Marekani

    Kusaidiwa ni jambo moja...lkn ushauri wa ati kutumia majina ya "wazungu ", ati tu, sbb walisaidia matibabu, unakuwa na ushauri wa wakala wa "slavemaster" kwa watu huru waliokuwa wakihitaji msaada na wakasaidiwa... ...tafakari bandiko lako, kisha jitathmini kama uko huru na utumwa wa kimawazo,(...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wazazi wa watoto hawa watatu wanaopelekwa Marekani

    Mkuu...mbona umejishusha na tafakari ya hivi? Hao watoto na wazazi wao bado wanaishi...na hatujui kesho linaweza wakumba jambo gani, na nani mwingine atawasaidia...sasa kwa ushauri wako ni kwamba watabadili majina na kutumia majina ya kila atakaewasaidia? Lkn kwa kujiita jina la hào wazungu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania KITILA: Bajeti ya Maji Inatosha

    Mkuu...wazungu wa wingereza wana methali yao, wakisema "the lips of righteous teaches many, but fools die for want of wisdom".. Kina sie, wapenda kujifunza, halitushangazi hili la Kitila...wa, kinyume na kujifunza, watasumbuka na hili, na mengine mengi... Rais wa awamu ya 3, wakati mmoja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maana yake nini, Waziri Lwenge kumtaka Mbunge Kitwanga kuhama CCM?

    Mwenye uwezo mdogo ktk EALA ni nani? "Weka muziki, wacha kuleta maneno" Titajie walau wawili...
Back
Top Bottom