Kiongozi akipewa zawadi ya mche wa dhahabu na mgodi ni sawa?

Nakumbuka yuko kiongozi mmoja alitembelea mgodi fulani na akapewa zawadi ya pande la dhahabu na akatokomea nalo kusikojulikana. Kiongozi wa hivi hawezi kuzuia wizi wa dhahabu migodini.
Sema tu Benjamin Mkapa kwa nini unafichaficha?

Mkapa kapewa Range Rover Vogue na Andy Chande.

Leo siku ya kufariki Mzee Kitwana Kondo, basi tuzungumze yake.

Kitwana Kondo alitaka kumpa zawadi Mkapa alipopata urais. Mkapa akamkatalia, akamwambia ukitaka chukua kurasa nzimaya gazeti nipe pongezi.

Kukaa kidogo akaja Andy Chande, akampa range Rover Ben Mkapa.

Mkapa akalichukua akaliweka Sea View pale.
 
Hii niliwahi kuishuidia miaka ya mwanzoni kwa 2000.
Mkapa alipewa kitu cha njani, aka mche/bar ya dhahabu.
Nakumbuka sikuzile ilibebwa na mbwana mmoja akiitwa JOHN BWANA akiwa na kikosi chake cha ulinzi.
Sikuhiyo marehemu ANTONY ALIKUA zamu ya usiku na LUCAS JISHOSHA alipangwa zamu kwa mapumziko (hii ni kwakua alikua na msimamo wa mrengo wa kulia).
Nilitazama Ben akikabidhiwa dhahabu ilio tengenezwa kwa mfano wa koreo
 
Nakumbuka yuko kiongozi mmoja alitembelea mgodi fulani na akapewa zawadi ya pande la dhahabu na akatokomea nalo kusikojulikana. Kiongozi wa hivi hawezi kuzuia wizi wa dhahabu migodini.

Mkuu...fitna hiyo, vinginevyo, labda kama hukujua wakati ule, kuwa zawadi wanazopewa viongozi kwa nafasi zao, zinakuwa mali ya taifa
 
Mkuu hii kitu niliinusa sehem tena alipopewa alipitishwa njia ya maficho hakuonana na wananchi
Mkuu....
Hii niliishuhudia kwa macho yangu pasipo simulizi.
Na ninakumbuka sikuhiyo ndio ilikua Mara yangu ya kwanza kuona kitu cha buffer....
Sinto sahaau kwa ule muharo niliouchanganya kwa uroho wa chakula.....
 
Mkuu....
Hii niliishuhudia kwa macho yangu pasipo simulizi.
Na ninakumbuka sikuhiyo ndio ilikua Mara yangu ya kwanza kuona kitu cha buffer....
Sinto sahaau kwa ule muharo niliouchanganya kwa uroho wa chakula.....
Hahahahaha pole mkuu ila afadhali ulivuna janga ukala na kwenu........watu walikua wanafaidi sana
 
Hawa waliojali matumbo yao kwanza... sijui wakikaa walipo awamu hii wanajisikiaje kwa madudu yanavyoibuliwa.

Mahakama ya mafisadi nayo ianze kuchangamka shaa, hao majaji au wafanyakazi wanafanya nini siku zote? Au kuna website wanayoweka hata updates za kesi?

Watu wanatumbuliwa wengi hatusikii kinachojiri, nyie mliopewa vyeo hivyo changamkeni au fagio liwajie tu.

Kwa kweli inabidi mambo yaanze kwa kishindo...naaminia pia Mh. JPM anapima hewa akianza itakuwa shida ila hao wa chini yake nao wenye mamlaka sijui kwanini hawachangamki kutuletea haya tushuhudie jambo jipya nchini hapa kwa kishindo.

Ila namalizia na tatizo moja kubwa nchini kwa sisi wananchi kukosa habari awamu hii ni hawa watu wa vibahasha na pia wana habari wetu asilimia kubwa wanapenda habari za kufata mkumbo kwenye social networks kipi kinaongelewa... yaani yaani ni mabomu haswaaaaaaa... ndio maana Mh. Mwakyembe alieasema juu ya elimu na ujuzi. Mh. Makonda pia aliwasema kuwa wanatunyima sisi habari za jijini na sio kumkomoa yeye bali wanatukomoa sisi.

Kesi kama hizo hawaziongelei wao udaku tu, hata za maendeleo hawaongelei kwa sababu wentewe hawajui hata biashara ya kuuza ndoo ya maji ya mvua inafanyikaje hawawezi..
 
Back
Top Bottom