Recent content by Retreat

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, nini Siri ya Waarabu, Wasomali, Wahindi kuishi ukoo mzima nyumba moja kwa upendo?

    Hao watu tangu utotoni wanakuzwa hivyo, na mwisho wa siku nao wanaendeleza huo utamaduni. Unakuta watoto wao wanapopelekwa shule hawaendi kusoma ili waje kuajiriwa, maono yao mengi ni kupata maarifa tu ya kuendesha biashara zao na vitega uchumi mbalimbali walivyonavyo. Ndiyo maana hata MO...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Barakoa! Zinauzwa karibuni

    Uzalendo Installer, Siyo kwamba tumesahau kwamba CORONA bado ipo?? Si unaona bado kwenye daladala tunakaa seat level. Mwendokasi bila Barakoa hupandi, Shule za awali na Msingi bado hazijafunguliwa. Anyway, acha tusubiri na muda utaamua kama ni wrong timing ama vipi. Asante sana kwa maoni yako.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Barakoa! Zinauzwa karibuni

    Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000). Karibuni sana. Mzigo upo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Hapa Mzee umejitambulisha tena kwa majina yako yote Matatu. Nakushauri fanya Editing uondoe kama hupendi watu wakujue. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Umejitambulisha mwenyewe Mzee. Rudia kusoma Posts zako zote za humu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Poleni sana aisee.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Wewe utakuwa na undungu na kijana alikuwa anaitwa Ibrahim Mgumia (Ibra), amefariki hivi karibuni. Alikuwa mwanajeshi, lakini baadae sijui ikawaje akarudi Mboka kwao. Dr. Kisenge, kuweka record sawa hapo juu. Huyu Daktari alikuwa na Watoto karibu wote wa Kiume ambao walisumbua sana pale...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Partner wa Biashara ICT General

    Cheki Inbox nimekutumia ujumbe
  9. R

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri maeneo ya tabata segerea inauzwa bei poa

    Weka picha ya Hati tafadhali, na ikinunuliwa itakuwa imeondoa hilo deni la Bank? Maana isije kuwa ni kuhamisha deni, ama unainunua then Bank wanakuja kuipiga mnada. Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

    Ipo wapi hiyo Link? Mbona siioni kwenye uzi huu?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

    Sawa, Hivyo ni chuo gani kipo Frankfurt?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

    Mkuu umesema Easy University to get Admission ni Bonn University na Best Place ni Frankfurt, je Bonn ipo Frankfurt? Ama ulikuwa una maanisha nini hapa? Naomba clarification please.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nina kiwanja Kimbiji, Kigamboni natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa Madale, Goba au Mvumoni

    Hicho Kiwanja chako cha Moro Mindu kimepimwa?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza

    Bugogwa ndio wapi? Kimepimwa?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nina kiwanja Kimbiji, Kigamboni natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa Madale, Goba au Mvumoni

    Una Shilingi ngapi kama bajeti yako kwa Kiwanja cha Ukubwa huo?
Back
Top Bottom