Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Nasikia hali ni tete. watu wamejifungia ndani .........Mwenye taarifa kamili atufahamishe
MREJESHO: Mwanzoni ilikuwa kati ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wakamchoma mwanaume mikuki, kapelekwa hospitali na kufa. Polis wakaja kuchukua mwili kwa uchunguzi, wakulima wakakataa kuwa hamtusaidii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.