Ni idea nzuri, but as biashara ni biashara ya kuku, nadhani it will be wise also to say, dont put all your eggs in one basket;
Kwa nyongeza tu ni kwamba, nimegundua watu wengi wanaofanya biashara ya kuku ni middle class, hapo Tanzania, au should i say, even upper class because the areas they...