Recent content by restore 1985

  1. R

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    Ngoja niende kibiti nikajiandae na kilimo cha mihogo mwezi wa 9 pia ufugaji...maana sioni nuru kabisa hapa town.
  2. R

    Kusajili NGO

    Nicheck 0787 429 104 nitext now...tufanye kazi.
  3. R

    Uwanja wa taifa: Simba 2-0 Tanzania prisons, ligi kuu soka Tanzania bara

    Wajerajera 1, taarabu club (simba) 0
  4. R

    US, UK and France launch airstrikes in Syria

    Urusi wanasema air defence zao marekani kaziogopa na wala hakupita huko je hivi si ni urusi huyu huyu alisema S400 ina cover anga lote la syria,israel,lebanon mpaka iraq au mi ndo sielewi vile?
  5. R

    US, UK and France launch airstrikes in Syria

    Hapo mkumbuke yule mnyama aitwaye popo au B2 Bomber katulizwa sana maana naskia ana hasira sana tokea vita ya sadam hajatoka popote kalala ndani tu zaid ya kufaya mazoezi ya viungo. Pili Iran ajiandae hii ndo target number one yaani atatandikwa vibaya sana Tatu urusi ameonyesha utoto sana na...
  6. R

    Fursa wahanga wa ajira

    Ile issue ya gamanywa watu walipigwa laki laki zao kama ada ya mafunzo na ahadi kedekede kumbe alikuwa anategemea kupeleka proposal bank ndo apate mkopo wa mil 200 mradi wa mashamba uanze ikashindkana zkaanza mbwembwe tu mpaka leo kimyaaaaaaa hata hawasemi lolote.
  7. R

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    bado sijaona wakuu....naona ukungu.
  8. R

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    Ndiyo kaka niynganishe hata leo naenda nikawatumikie watz 0787 429 104
  9. R

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    Bado giza aisee......
  10. R

    Nina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji, natafuta wateja

    Ona mwngne anasema eti kuku ukimfungia ndani anabadilika anakuwa si wa kienyejia aaahahahaaaaa Mungu wangu aisee tumuheshimu Mungu viumbe vyake havichakachuliki kabisa tofauti ya chotara na kienyeji iko wazi chotara halalii na anataga mayai mengi sana,pia hata muoneakano chotara ukimuangalia...
  11. R

    Nina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji, natafuta wateja

    Jamaa unataka kuwaaminisha watu kuku chotara na kienyeji wote wako sawa? Uwe na huruma na wenzio kuku chotara hana sifa znazofanana na pure kienyeji kuanzia nyama na kutaga kisha kulalia chotara halalii kabisa...pia wengi wao ni wakubwa sn tofauti na pure sa usje mdanganya mtu humu pengne ye...
  12. R

    Spy poisoning: US to expel 60 Russian diplomats

    alishajipanga kwa lipi hivi urusi zaid ya tishio LA nuclear na gas anayouza ulaya ana kipi kingne cha kujivunia au kupambana na mabepari na mabepari now yanapambana kuhakikisha yanapata gas toka Qatar yakifanikiwa ujue kiuchumi urusi amekwisha maana hata hayo masiraha yote anayomiliki bila pesa...
Back
Top Bottom