Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

Si kila aliyeko humu au kila kijana ana smartphone hujui kwamba mtu ukiwa hata na tecno ya batan yny operamin humu unaingia na fb kasoro whatsapp tu...
- Binafsi natumia nokia X2-01 ya batan naingia humu bila shida
- Si kila mtu anaweza fanya biashara mtu anaweza uza asset yake kw ushawishi afanye biashara na asfanikiwe mtaji unapotea na cm umepoteza.
 
Mgonjwa...anashindwa kujua si kila mtu anaweza fanya biashara kuna graduate wengi hawana kazi na wamepewa nafasi za kufundisha bt wanakataa kwamba hawawez jibu ni kwamba huyo si mvivu au anachagua kazi tatzo si kila mtu ana uwezo huo.
Ni sawa na swala la kufanya biashara si kila mtu amepewa kibali hicho kila mwanadamu anacho kipaji/kibali cha kufanya jambo fulan na akafanikiwa sn hata ukipewa pesa yote ya bajeti ya tz uende ukafanye biashara kama si kipaji chako au huna kibali hicho utafirisika tu na utarudi juu ya mawe.
Thanks wote mnaonitia moyo......
 
Ngoja niende kibiti nikajiandae na kilimo cha mihogo mwezi wa 9 pia ufugaji...maana sioni nuru kabisa hapa town.
 
Namba 2 na 3 zinaniambia kama ajira imekuwa ngumu unaweza kujiajiri na bado ukapiga hela..

Tafuta kazi ya Part time teacher hapo Dar es salaam kwenye private school usiombe mshahara mzuri hata 200k kwa mwezi inatosha, tafuta shule zako tano, Panga ratiba zako za kazi vizuri..
Fungua darasa la tution, usiwe unafundishi topic NO, kuwa mwalimu wa kusolve maswali na past papers tu..

Hiyo namba tatu, in your spare time unaweza kuandika hizo makala ukawa unaziweka hata humu JF watu wazizoee na wakujue, baada ya hapo andika makala pia za kidini, jaribu kupita ofisi mbalimbali za magazeti ukiuza hizo makala zako...
 
Back
Top Bottom